Wakati ACT-Wazalendo wakichangia shilingi milioni mbili,sitashangaa chama cha kijani nacho kikachangia ili kujisafisha na aibu hii ya kisiasa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
ACT wamechangia shilingi milioni mbili ambazo zimewasilishwa na Zitto.

Binafsi nawashukuru na kuwapongeza sana:






Tahadhari:Chama cha kijani nacho ili kujisafisha mbele ya umma na ulimwengu,msishangae kuwaona wakiwasilisha mchango wao kama chama au baadhi ya viongozi wa chama hicho wakajitokeza kuchangia ili kujenga taswira kuwa chama chao hakihusiki na haya mambo.

Nina hakika mpaka sasa wanajuta na wangejua mapema, huenda wasingeruhusu jambo hili litokee ila ndio hivyo wameshachelewa.
 
Masaa 48 wameshindwa kukusanya million 300?
Si wanasema wana wafuasi milioni 6?
Kweli chadema imekwisha

Juzi Yanga kwa masaa 10 walikusanya zaidi ya milioni 500 taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wenzetu mnatumia nini kufikiri, mana siku zote ni pumba tu.

Hivi vichwa vyenu vina ubongo kama vyetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masaa 48 wameshindwa kukusanya million 300?
Si wanasema wana wafuasi milioni 6?
Kweli chadema imekwisha

Juzi Yanga kwa masaa 10 walikusanya zaidi ya milioni 500 taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukumu imetoka Jana saa kumi na moja na saiv Ni saa kumi na mbili. Sasa hebu tuelekeze hesabu ya masaa 48 imetokea vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una matatizo wewe!sie tumeshamlipia kada wetu mashinji tokea asubuhi,saa hizi anakula ugali na mkewe
 
Masaa 48 wameshindwa kukusanya million 300?
Si wanasema wana wafuasi milioni 6?
Kweli chadema imekwisha

Juzi Yanga kwa masaa 10 walikusanya zaidi ya milioni 500 taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujaandika ungefanya hesabu 300,000,000 ÷ 6,000,000 ungejua kuwa siyo rahisi kama unavyofikiria PUMBAVU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda CCM wametoa milioni 30 kumnusuru Mashinji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…