Pre GE2025Wakati Askofu Shoo anasema Rais Samia haitaji Chawa wa kumtetea bali Kazi zake, Askofu Bagonza anasema Chawa wanaodhani wanamtetea Ndio Watamponza!
Kimsingi mababa Askofu Dr Shoo na Dr Bagonza wanachosema ni kwamba Mpendwa Wetu Mh Rais Samia anabebwa na Kazi zake na wala siyo Kimbelembele Cha Chawa wanaojipendekeza