Wakati Bongo fleva inazidi kukubalika na kupiga hatua kimataifa, Bongo movi inasuasua

XaviMessIniesta

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
2,231
Reaction score
2,778
Wakuu tatizo ni nini?

Bongo fleva tuwapongeze wanajitahidi sana, sasa Bongo muvi hata quality za video wanashindwa

Tuwape miaka 100 ijayo
 
Ile movie Wema Sepetu aliyocheza na Van Vicker itatoka lini?
 
Vigezo vyao ndivyo vinawafelisha, actor lazima uwe mweupe, shombeshombe na kung'ata lips na actress uwe na sura, shepu (yaani bonge la tako la haja), kuhusu kipaji si muhimu kwani utaelekezwa humu humu. Matokeo yake Sanaa haina ubunifu sababu imekosa watu wenye vipaji 100% na vilevile mtu mmoja kuplay role zaidi ya moja (director yy, script writter yy, actor yy, story writter yy). Usitegemee kupata product nzuri, bora comedy wanafanya vizuri lkn hawa wengine, mm huwaga naangaliaga matako kwenye tamthilia zao ila hamna kitu.
 
Wakuu tatizo ni nini?

Bongo fleva tuwapongeze wanajitahidi sana, sasa Bongo muvi hata quality za video wanashindwa

Tuwape miaka 100 ijayo
wanasubiri misiba ya watu maarufu halafu wanaigiza kuzimia huku wameshika kitambaa
 
Unawaongelea hawa bongo muvi ambao katika muvi zao mlinzi lazima awe mjinga mjinga? km ni hao sahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…