Huko Simiyu ni balaa, Mwenyekiti wa Chadema wa wilaya, katibu na wanachama zaidi ya 60 wamejiunga CCM na kufunga kabisa ofisi ya Chadema wilaya.
Wakati wanapokelewa na katibu Mkuu wa CCM Dk. Emmanuel Nchimbi wameeleza kwamba sababu inayowafanya waiache chadema ni uongozi uliokosa maono, rushwa husasan ya ngono, wizi wa rasilimali za chama na migogoro ya muda mrefu ndani ya Chama hicho.
Suluhisho la matatizo hayo yote ni Chama cha Mapinduzi (CCM).