the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October.
===
Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor Makundi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu utakua pigo la Radi kwa wapinzani.
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makundi ameyasema hayo alipotembelea kambi ya viongozi wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka wilaya zote za Kilimanjaro wanahudhuria mafunzo maalum ya kimkakati yanayolenga kuwaandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2025.
Katika mafunzo hayo yanafanyika wilayani Hai na kujumuisha zaidi ya washiriki 700 Makundi ametoa rai kwa Cha cha Wanasheria Tanzania (TLS) Tume ya Maadili ya Mawakili na Mahakama kuu kutowafumbia macho wanachama wao wanaoonesha dalili ya kuvunja katiba ya nchi .