Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October.
===
Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor Makundi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu utakua pigo la Radi kwa wapinzani.
Makundi ameyasema hayo alipotembelea kambi ya viongozi wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka wilaya zote za Kilimanjaro wanahudhuria mafunzo maalum ya kimkakati yanayolenga kuwaandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2025.
Katika mafunzo hayo yanafanyika wilayani Hai na kujumuisha zaidi ya washiriki 700 Makundi ametoa rai kwa Cha cha Wanasheria Tanzania (TLS) Tume ya Maadili ya Mawakili na Mahakama kuu kutowafumbia macho wanachama wao wanaoonesha dalili ya kuvunja katiba ya nchi .
Aidha, ni kweli kabisa kwamba hakuna uwezekano wa kuzuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Mwaka huu wa 2025.
Vile vile, ni kweli kabisa kwamba Hoja za Watu wa CHADEMA ni za kweli, pia ni za msingi. Hoja zao zina mashiko kuhusiana na Kukosekana kwa Mamlaka zinazoaminika kwa ajili ya kusimamia Uchaguzi ulio huru, wa HAKI na ulio wa Wazi.
Jambo muhimu zaidi la kuzingatiwa ni kwamba: KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA MIFUMO YA UCHAGUZI. NA KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA KATIBA YA NCHI.
KAMWE HAUPO KABISA UWEZEKANO WA KUBADILISHA KATIBA YA NCHI KWA NJIA ZA KIDEMOKRASIA. HAUPO UWEZEKANO!
Kwa bahati mbaya sana, huu ndio Ukweli mchungu Sana kupita kiasi!
Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October.
===
Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor Makundi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu utakua pigo la Raidi kwa wapinzani.
Makundi ameyasema hayo alipotembelea kambi ya viongozi wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka wilaya zote za Kilimanjaro wanahudhuria mafunzo maalum ya kimkakati yanayolenga kuwaandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2025.
Katika mafunzo hayo yanafanyika wilayani Hai na kujumuisha zaidi ya washiriki 700 Makundi ametoa rai kwa Cha cha Wanasheria Tanzania (TLS) Tume ya Maadili ya Mawakili na Mahakama kuu kutowafumbia macho wanachama wao wanaoonesha dalili ya kuvunja katiba ya nchi .
Hao vijana wakitoka hapo wanaenda kwenye magroup kukutana na wenzao wa NETO kulia kuhusu ajiraš¤£š¤£š¤£uzuri wa haya maumivu yanapokuja hayachagui chama yanapiga kwa wote
Hao vijana wakitoka hapo wanaenda kwenye magroup kukutana na wenzao wa NETO kulia kuhusu ajiraš¤£š¤£š¤£uzuri wa haya maumivu yanapokuja hayachagui chama yanapiga kwa wote