johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nyumba ya shetani mwendawazimu umetoka wapi huko?Hii tabia ya Channel ten kukatisha matangazo pale ambapo wabunge wa upinzani wanapoanza kuchangia au kutajwa na Spika haijakaa sawa. Kwa mfano leo wamekatisha wakati Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani alipotajwa kuwasilisha maoni, wakarudi wakati wa kuchangia, aliposimama Zitto Kabwe kuchangia hata hajamaliza wakakata tena.
Inakera
Tunajenga taifa la hovyo hovyo tuseme HAPANA.Nyumba ya shetani mwendawazimu umetoka wapi huko?
Mkuu taifa lishakuwa la hovyo tayari. Utaumiza kichwa bure kisa kina NdugaiTunajenga taifa la hovyo hovyo tuseme HAPANA.
Hii ni luninga ya CCM bwasheeHii tabia ya Channel ten kukatisha matangazo pale ambapo wabunge wa upinzani wanapoanza kuchangia au kutajwa na Spika haijakaa sawa. Kwa mfano leo wamekatisha wakati Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani alipotajwa kuwasilisha maoni, wakarudi wakati wa kuchangia, aliposimama Zitto Kabwe kuchangia hata hajamaliza wakakata tena.
Inakera
Si ndiyo hapokuna uhusiano gani waziri kutumia pesa yake binafsi kwa matumizi aliyoamua na watumishi kukosa mishahara?
Uwe unasoma na kuelewa......au umekunywa " bapa la wasiojulikana" bwashee!Kwa kingwa ndy anazuia mshahara ya Hao TANAPA
ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa!kuna uhusiano gani waziri kutumia pesa yake binafsi kwa matumizi aliyoamua na watumishi kukosa mishahara?
Interesting.!Hii ni luninga ya CCM bwashee
Nenda TBC2 ndio ya wote!
Hii tabia ya Channel ten kukatisha matangazo pale ambapo wabunge wa upinzani wanapoanza kuchangia au kutajwa na Spika haijakaa sawa. Kwa mfano leo wamekatisha wakati Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani alipotajwa kuwasilisha maoni, wakarudi wakati wa kuchangia, aliposimama Zitto Kabwe kuchangia hata hajamaliza wakakata tena.
Inakera
Huyu ni MTUME wa Jiwe, atarudi kuwa Waziri! Mitume waliotumwa na YESU ni Kigwa, Ndu, MwiguAkichangia hotuba ya sheria ya bajeti mbunge Magdalena Sakaya amemtaka Waziri wa Utalii na maliasili Dkt. Kigwangalla kushughulikia suala la mishahara ya watumishi wa Tanapa kwa dharura.
Sakaya amesema wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili hivyo ni vema waziri Dkt. Kigwangalla akaacha legacy kwa kutatua suala hilo kabla hajastaafu hivi karibuni.
Maendeleo hayana vyama!
Akichangia hotuba ya sheria ya bajeti mbunge Magdalena Sakaya amemtaka Waziri wa Utalii na maliasili Dkt. Kigwangalla kushughulikia suala la mishahara ya watumishi wa Tanapa kwa dharura.
Sakaya amesema wafanyakazi wa Tanapa hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili hivyo ni vema waziri Dkt. Kigwangalla akaacha legacy kwa kutatua suala hilo kabla hajastaafu hivi karibuni.
Maendeleo hayana vyama!