Wakati gani neno handsome linaapply kwa female?

Capt Nemo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,445
Reaction score
680
Katika pitia pitia yangu ya vitabu hususan novels nimekuta zaidi ya mara tau hiv neno handsome limetumika kwa mwanamke (like Rose was a handsome womam of thirty-five pg 122, para 3, 4th line "The Bygones") najiuliza how can that be

ninapojaribu kuthink outside the box napata taswira kuwa labda huyo mwanamke lazima awe anapossess some male qualities kama nguvu n.k

Naombeni wenye uelewa zaidi mnisaidie
 

Hukukosea sana mkuu Capt Nemo si lazima aposses sifa za kiume lakini anaweza kuwa na sifa zake za kike lakini kuna ziada katika huo uzuri wake kwa namna iliyo dhahiri i.e attractive in a strong way not small or delicate ( atractive with strong features e.g tall,confident).
 
Last edited by a moderator:



Pengine hii itasaidia kutoka TUKI-Dictionary:

handsome adj 1 -enye umbile zuri; (of men) -zuri, -enye sura nzuri; (of women) -enye umbo zuri. 2 (of conduct) kubwa. H~is as/that ~does (prov) mwungwana ni kitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…