Over drive:
Over drive ni mtoto wa giabox ambaye yupo kwenye magari yote ya kisasa. Kwenye gari za manual over drive imefichwa kwenye gia namba tano.
Kwenye gari za auto over drive mara nyingi ni gear ya nne au ya tano.
Ile taa ya over drive inapowaka ina maana mtoto wa gia box ana kuwa amezimwa na hafanyi kazi hivyo gari yako haiwezi kwenda kwenye gia ya mwisho ambayo inapatikana kwenye mtoto wa giabox. Hii hutumika wakati gari inatakiwa iwe na high rpm ili uweze kupata nguvu ya kutosha hasa unapo over take.
Kama taa inawaka basi hakikisha unaendesha gari huku taa ikiwa imezimwa.