joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Waige njia tunazotumia watanzaniaHivi wakenya Nani amewaloga?, hivi hamuoni kwamba njia mnazozitumia za kupunguza maambukizi hazifanyi kazi?, kwanini msitafute njia na mbinu tofauti kidogo?.
Mimi ninawapenda ndio sababu ninawashauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzungu koko utawamaliza.Hivi wakenya Nani amewaloga?, hivi hamuoni kwamba njia mnazozitumia za kupunguza maambukizi hazifanyi kazi?, kwanini msitafute njia na mbinu tofauti kidogo?.
Mimi ninawapenda ndio sababu ninawashauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, hahahaha. Yaani nikifikiria sana kwa undani nchi ya Kenya jinsi ilivyo, huwa hadi kichwa kinauma, mbona mambo mengine yapo wazi kabisa hayahitaji hata degree?Kuna siku David ndii alisema kwamba ukoo wa kenyatta kiungo cha mili yao kinacho fanya kazi sana sio ubongo ni figo - kusafisha pombe mwilini[emoji23][emoji23]
Sioni kama alikosea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaKuna siku David ndii alisema kwamba ukoo wa kenyatta kiungo cha mili yao kinacho fanya kazi sana sio ubongo ni figo - kusafisha pombe mwilini[emoji23][emoji23]
Sioni kama alikosea