Wakati Kenya ikishindwa kusimamia ugawaji wa chakula na kusababisha vifo kwa kukanyagana, Uganda yawatumia wanajeshi kugawa chakula

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Ukweli lazima tuuseme, Kenya ni nchi ya ajabu sana, Kenya haina uwezo wa kutekekeza jambo lolote kwa ufasaha.

Tuneshuhudia watu wakipigwa na kuuliwa na polisi katika zoezi zima la kutekeleza amri ya kutotoka nje ili kupambana na maambukizi ya Corona. Juzi hata zoezi la kugawa chakula limesababisha vifo kutokana na nchi kushindwa kujipanga katika kutekeleza majukumu yake.

Wakati Kenya ikiripoti visa vya mateso na vifo kwa wananchi kutokana na uzembe wa kutojipanga kwa serikali, nchi Jirani za Rwanda na Uganda ambazo ndio zilizoanza zoezi la kusambaza chakula bure, wamefanikiwa kusambaza vyakula kwa amani bila kuhatarisha maisha ya wananchi.

Swali la kujiuliza, hivi ni kwanini Kenya hawapendi kujifunza toka kwa majirani pamoja na ukweli kwamba Kenya ndio nchi ibayofanya vibaya katika kila mradi hapa EA?.
 
MK 254 njoo hapa!! Raia wa nchi ya uchumi wa Kati wanagombania chakula na kukanyagana hadi mtu anakufa! kulikoni?
 
Bado wanakazi ya kupima kwanza covid-19 huko subilini kwanza
 
MK 254 njoo hapa!! Raia wa nchi ya uchumi wa Kati wanagombania chakula na kukanyagana hadi mtu anakufa! kulikoni?
Kalala sasa hivi ni muda qa curfew,hawezi kwenda mjini kwenye internet cafe,na anapokaa kibera hakuna huduma hiyo
 
Kenya inafanya vibaya katika kila mradi ilhali tuna Uchumi mkubwa kushinda nchi zote Afrika Mashariki? Hata Watanzania wenzako hawawezi kuamini unachosema.
 
Kalala sasa hivi ni muda qa curfew,hawezi kwenda mjini kwenye internet cafe,na anapokaa kibera hakuna huduma hiyo
Wewe hujui Wakenya wengi wanamiliki smart phone kushinda Watanzania?
 
Wewe hujui Kenya tunazalisha zaidi ya mara dufu ya umeme mmaozalisha nyinyi?
Lakini hamuwezi kuusambaza kwa wananchi, muhimu ni kuufikisha kwa wananchi sio kuzalisha.
 
Lakini hamuwezi kuusambaza kwa wananchi, muhimu ni kuufikisha kwa wananchi sio kuzalisha.
Kenya tunaproduce 2,800 MW na tunaconsume 1,900 MW. Nyinyi kwa vile mnaproduce 1,300 MW basi mnaconsume pengine 1,000 MW au hata chini ya hio. Ndio maana mnaitwa LDC.
 
Kenya tunaproduce 2,800 MW na tunaconsume 1,900 MW. Nyinyi kwa vile mnaproduce 1,300 MW basi mnaconsume pengine 1,000 MW au hata chini ya hio. Ndio maana mnaitwa LDC.
Data za umeme Tanzania 2016 mpelekee wanjohi wa mashati.
 
KDF sahii inasadia ofisi zengine za serekali kutoa usaidizi kwa wakenya waliokumbwa na mafuriko.

Wakenya hao wanahamishwa kutoka kwa maeneo yalio na mafuriko na kuwekwa kwa kambi mahali ambapo hapana mafuriko na kujengewa mahema waishi hapo mpaka pale maji yatapungua

Tupe za 2019 kama unazo
Sijui huwa ni matatizo ya akili mnakuwa nayo au ni ile tabia ya kupenda kuficha vichwa kwenye mchanga!

Hii maneno mbona imerudiwa sana humu?

April 2019 ilikuwa 1,602 megawatts,

Ukumbuke pia kuwa viwanda vingi kwa sasa hapa Tanzania vinatumia gesi kujiendesha.
 
Kenya tunaproduce 2,800 MW na tunaconsume 1,900 MW. Nyinyi kwa vile mnaproduce 1,300 MW basi mnaconsume pengine 1,000 MW au hata chini ya hio. Ndio maana mnaitwa LDC.
Tunaomba ushahidi ni % ngapi ya wakenya wameunganishwa na UMEME?, tukimaliza tunakuja kwenye MAJI. Hahahaha
 
Sasa kama mnaproduce 1,602 MW basi mnatumia takriban 1,300 MW au hata chini ya hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…