Wakati Kenya wakikabiliwa na njaa Kali, Tanzania vyakula vinazidi vinakosa wateja

Wakati Kenya wakikabiliwa na njaa Kali, Tanzania vyakula vinazidi vinakosa wateja

Hii ndio tofauti kati ya nchi ilioendelea kwa kutumia data za wazungu na ilioendelea kwa uchumi halisi ,Nchi imeendelea kila mwaka haiwez hata kujilisha na hii kujifungia ndan wakenya itawaumiza zaidi kuliko watanzania
 
Fig3_depthtogroundwaterSML.jpg

Africa water map
 
Back
Top Bottom