Hii ndio tofauti kati ya nchi ilioendelea kwa kutumia data za wazungu na ilioendelea kwa uchumi halisi ,Nchi imeendelea kila mwaka haiwez hata kujilisha na hii kujifungia ndan wakenya itawaumiza zaidi kuliko watanzania
Mfumuko wa bei za bidhaa Tanzania waendelea kushuka, hii ni tofauti na nchi zingine duniani ambako mfumuko wa bei unapanda kutokana na kupungua kwa uzalishaji kwa sababu ya Corona. https://www.facebook.com/
Sent using Jamii Forums mobile app