heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
wakati watanzania wachache wasiopenda kabisa mafanikio ya huyu msanii, wakitabiri kuwa huu ndio mwisho wa Diamond
mambo yako tofauti kwani kila siku anapiga show zinazomlupa pesa nyingi kuriko msanii yeyote nchini kwa sasa(kwa kipind kifup akiwa amepiga show zaid ya 5,1:usiku wa wasafi ndani ya maisha club
2:miaka 36 ya ccm kigoma,
3:uzinduz wa uwanja wa ndege kigoma
4:uzinduzi video mpya ya ommy dimpoz
5;valentine day Mwanza)
na jana kuvunja rekodi jijin Arusha mhi ambao bongo fleva haikubariki kihivyo lakin kavunja recodi kwa kufanya show yenye kiingirio kikubwa cha Laki moja nusu na raia kufurika(hakuna msanii wa bongo fleva aliyewahi fanya hivyo)ikumbukwe aliwahi anda show yake binafsi kiingirio kikiwa 50000 na watu wakafurika.
binafsi sina chuki na mziki wa diamond na mwanamzik yeyote atakayefanya vizuri na siku zote namwombea mziki wake uzid kukuwa ili siku moja nasi tuwe na mwanamziki anaetambulika kimataifa
zaid msome diamond mwenyewe
Kiukweli Namshukuru Sana
Mwenyezi Mungu kwa kuweza
kufanikisha
usiku wangu huu wa Usiku wa
Valentine
uliofanyika Mjini Arusha ndani
ya CLUB SAFARI CARNIVAL
Tareh 16/02/2013....maana ilikua
ni mara ya Kwanza kwa Msanii
wa kitanzania
kufanya show kwa Kiingilio
kikubwa cha (150,000) Laki Moja
na Nusu na watu kufurika
pasipo hata mimi
kutegemea.....Kiukweli ilinifariji
sana na kuona kweli Watanzania
wanathamini na kujali vipaji na
sanaa zao tofauti na zamani
tulikuwa tukiona show ya
kiingilio kikubwa ni mpaka
msanii wa kutoka nje akija
nchini ndo watu ujaa kwa
wingi..!
Inanipa hali ya kuzidi kufanya
vizuri, kujituma na kuwa
mbunifu zaidi ili nami kesho
na kesho kutwa niweze kuiweka
Nchi yangu kwenye Ramani
nzuri ya
Tasnia ya Muziki....!!
Niushukuru Pia Uongozi mzima
wa CLUB SAFARI CARNIVAL,
MOUNT MERU HOTEL... Ma Boy
Victor,Erick na Wanangu wote
Niliokuwa nao Pamoja
Arusha..Bila kumsahau
My Blood Ibrah Madharau
source:www.thisisdiamond.com
MNAOMBEA NA KUTAMANI HUYU KIJANA MTANZANIA MWENZETU APOROMOKE KIMZIKI,ENDELEENI TU KUWA WAVUMILIVU,C LEO WALA KESHO COZ WATANZANIA WENYE BUSARA NA WASIO NA CHUKI ZA KIJINGA WANAONA KAZ ZAKW NA WANAZID KUMPENDA
Shuguli Ilihanza Hivi.........!!

Attachments
-
uploadfromtaptalk1361224074059.jpg11.4 KB · Views: 362 -
uploadfromtaptalk1361224216856.jpg8.5 KB · Views: 309 -
uploadfromtaptalk1361224237481.jpg13.8 KB · Views: 292 -
uploadfromtaptalk1361224263707.jpg12.4 KB · Views: 297 -
uploadfromtaptalk1361224301338.jpg13.2 KB · Views: 294 -
uploadfromtaptalk1361224352198.jpg13.3 KB · Views: 276 -
uploadfromtaptalk1361224374430.jpg14.9 KB · Views: 268 -
uploadfromtaptalk1361224497419.jpg10.5 KB · Views: 316