Wakati kiingirio kikiwa laki moja na nusu,diamond avunja rekodi arusha

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
wakati watanzania wachache wasiopenda kabisa mafanikio ya huyu msanii, wakitabiri kuwa huu ndio mwisho wa Diamond
mambo yako tofauti kwani kila siku anapiga show zinazomlupa pesa nyingi kuriko msanii yeyote nchini kwa sasa(kwa kipind kifup akiwa amepiga show zaid ya 5,1:usiku wa wasafi ndani ya maisha club
2:miaka 36 ya ccm kigoma,
3:uzinduz wa uwanja wa ndege kigoma
4:uzinduzi video mpya ya ommy dimpoz
5;valentine day Mwanza)
na jana kuvunja rekodi jijin Arusha mhi ambao bongo fleva haikubariki kihivyo lakin kavunja recodi kwa kufanya show yenye kiingirio kikubwa cha Laki moja nusu na raia kufurika(hakuna msanii wa bongo fleva aliyewahi fanya hivyo)ikumbukwe aliwahi anda show yake binafsi kiingirio kikiwa 50000 na watu wakafurika.
binafsi sina chuki na mziki wa diamond na mwanamzik yeyote atakayefanya vizuri na siku zote namwombea mziki wake uzid kukuwa ili siku moja nasi tuwe na mwanamziki anaetambulika kimataifa

zaid msome diamond mwenyewe
Kiukweli Namshukuru Sana
Mwenyezi Mungu kwa kuweza
kufanikisha
usiku wangu huu wa Usiku wa
Valentine
uliofanyika Mjini Arusha ndani
ya CLUB SAFARI CARNIVAL
Tareh 16/02/2013....maana ilikua
ni mara ya Kwanza kwa Msanii
wa kitanzania
kufanya show kwa Kiingilio
kikubwa cha (150,000) Laki Moja
na Nusu na watu kufurika
pasipo hata mimi
kutegemea.....Kiukweli ilinifariji
sana na kuona kweli Watanzania
wanathamini na kujali vipaji na
sanaa zao tofauti na zamani
tulikuwa tukiona show ya
kiingilio kikubwa ni mpaka
msanii wa kutoka nje akija
nchini ndo watu ujaa kwa
wingi..!
Inanipa hali ya kuzidi kufanya
vizuri, kujituma na kuwa
mbunifu zaidi ili nami kesho
na kesho kutwa niweze kuiweka
Nchi yangu kwenye Ramani
nzuri ya
Tasnia ya Muziki....!!
Niushukuru Pia Uongozi mzima
wa CLUB SAFARI CARNIVAL,
MOUNT MERU HOTEL... Ma Boy
Victor,Erick na Wanangu wote
Niliokuwa nao Pamoja
Arusha..Bila kumsahau
My Blood Ibrah Madharau
source:www.thisisdiamond.com
MNAOMBEA NA KUTAMANI HUYU KIJANA MTANZANIA MWENZETU APOROMOKE KIMZIKI,ENDELEENI TU KUWA WAVUMILIVU,C LEO WALA KESHO COZ WATANZANIA WENYE BUSARA NA WASIO NA CHUKI ZA KIJINGA WANAONA KAZ ZAKW NA WANAZID KUMPENDA
Shuguli Ilihanza Hivi.........!!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1361224074059.jpg
    11.4 KB · Views: 362
  • uploadfromtaptalk1361224216856.jpg
    8.5 KB · Views: 309
  • uploadfromtaptalk1361224237481.jpg
    13.8 KB · Views: 292
  • uploadfromtaptalk1361224263707.jpg
    12.4 KB · Views: 297
  • uploadfromtaptalk1361224301338.jpg
    13.2 KB · Views: 294
  • uploadfromtaptalk1361224352198.jpg
    13.3 KB · Views: 276
  • uploadfromtaptalk1361224374430.jpg
    14.9 KB · Views: 268
  • uploadfromtaptalk1361224497419.jpg
    10.5 KB · Views: 316
Mkuu picha zako na unachokiongea tofauti!mbona sioni watu waliofurika hapo?!au hujui maana ya watu kufurika?!kama una mapenz yako binasfi sio mbaya ila usitie uongo kupamba kisichopambika

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
nawe acha chuki za kipuuzi
kumbe hao ni kumbi kumbi?na ni msani wa hapa nchin kawah fanya show hata ya elfu 30? ifike hatua muwakubaei watu wenu ebooh
 
au nimekuumiza zaidi?
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1361227036828.jpg
    15.4 KB · Views: 269
sehem ya umati huo
picha nyingine ni mabaunsa wakiwashusha mashabiki waliovamia stage kutaka kucheza na diamond
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1361227260582.jpg
    14.6 KB · Views: 205
  • uploadfromtaptalk1361227288079.jpg
    14.6 KB · Views: 214
we utakuwa ni paparazzi wa diamond au diamond mwenyewe....kila post ya diamond kuna mkono wako!
 
so kma watanzania wamejaa chuki..wanapenda tuu kumsema kwa mabaya
y me nisiwe mtu ninaesema mazuri ya diamond
n zaid cna sababu ya kumchukia
hatujakataa!
ila imezidi sasa!
kila siku we thread zako ni kuhusu diamond kuwa mpya kidogo bana! mwee!mpka tutaanza kuona tu id yako tunamowna diamond lol!
 
we utakuwa ni paparazzi wa diamond au diamond mwenyewe....kila post ya diamond kuna mkono wako!

Bila shaka..huyu ni mpambe wake_ila dogo yuko vizuri kwenye fani yao hiyo ya kubana pua.
 
aliyeweka hii post,ni jamaa ambae ana control mambo yote ya diamond mtandaoni(kaajiriwa),ndo anae endesha mtandao wa thisisdiamond.com na ndo admin wa ac za diamond kwenye facebook na twitter,baada ya mda kdogo nawaletea jna lake,naona kakazana na promo alaf hatak kujiweka waz,akatuletea maandsh ya uongo et n taarfa ya ikulu..
 
Sio mpenzi sana wa bongo flava lakini namkubali diamond kwa kuchaji laki na nusu,, hiyo ndo confidence tunayoiongelea kwenye proffessional services,, unauza service kwa hela nzuri maana muziki ni biashara na ni huduma kubwa...

Kuna watu wana elimu zao lakini wanakubali kulipwa mishahara hiyo ya lak na nusu sababu hawana confidence,,, lakini kamanda diamond japokuwa mziki wa kuunga unga lakini unaleta ubishi kwenye malipo,,, nina imani hata kama watu walikuwa wachache lakini haujakosa hata M 5 kwenye hiyo show,,

Wangapi humu wanaotengeneza M 5 kwa one day?
 
laki kitu gani? hata kanga moko ni hiyo hiyo kilo na watu wanafurika
 
Amebakiza kuolewa tu na Diamond ili raha yake itimie.

Nakumbuka kuna mada ulimwekea mada zote alizozianzisha kuhusu Diamond,ni nyingi hadi kero.Binafsi namkubali Almasi lakini huyu mpambe anaboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…