Wakati mkiongea ya Germany,Diamond anafanya aya South Africa

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Siku ya leo mwanamuziki nguli wa Bongo fleva , Diamond Platnumz yupo nchini Africa Kusini akishoot kipindi na Televisheni ya MTVBase ya nchini humo. Bado haikuweza kujulikana kipindi hicho kinahusu nini lakini itaelekea kitakua si tu kuhusu Diamond bali Tanzania kwa ujumla baada ya Diamond kuanza kurekodia kipindi hicho kwenye balozi za Tanzania nchini Africa kusini…
 
Awa mwanamziki wa kwanza toka Tanzania kufanya kipindi MTVBase.

Nadhani hata Juma Nature naye alishawahi kufanyiwa kipindi pia, ni wakati mgambo ilipotajwa kugombea nafasi ya video bora.
 
amefungua milango kwa wasanii kuhijiwa na mtv base haijawahi kutokea bongo
 
Nadhani hata Juma Nature naye alishawahi kufanyiwa kipindi pia, ni wakati mgambo ilipotajwa kugombea nafasi ya video bora.

kumbe hii rekodi ishawekwa, i'm verry sorry for him, mana he has nothing to be proud on this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…