Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 640
Sote katika nyakati tofauti tumepitia na kukua katika mikono ya walimu.Katika kipindi chote hicho yapo mengi tuliyopitia.
Kuna walimu walikuwa wakali sana,kuna walimu walikuwa wapole sana,kuna walimu walikuwa na vituko sana,kuna walimu tuliwabapatia majina ya utani nk. Yote hiyo ni katika mchakato wa kimaisha hadi hapa tulipofikia.
Je,wewe unamkumbuka zaidi mwalimu gani na kwa sababu gani? Je ungepewa nafasi ya kukutana na walimu wote waliokufundisha tangu primary school hadi University,ungependa kukutana nani na kwa babu gani?
Binafsi mimi ningependa kukutana na:
1. Mwl.Rose a.k.a Bata,(primary school) huyu ndiye aliyenifanya nijue kusoma na kuandika.Alikuwa anatupenda sana.
2. Mwl. Ndemba,(O-level) huyu alinifanya nipende somo la Chemistry hadi leo nakaribia kugraduate my MD degree.