Wakati mwaka unapoelekea kuisha,je unamkumbuka mwalimu wako katika jambo gani??

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
640
Sote katika nyakati tofauti tumepitia na kukua katika mikono ya walimu.Katika kipindi chote hicho yapo mengi tuliyopitia.
Kuna walimu walikuwa wakali sana,kuna walimu walikuwa wapole sana,kuna walimu walikuwa na vituko sana,kuna walimu tuliwabapatia majina ya utani nk. Yote hiyo ni katika mchakato wa kimaisha hadi hapa tulipofikia.

Je,wewe unamkumbuka zaidi mwalimu gani na kwa sababu gani? Je ungepewa nafasi ya kukutana na walimu wote waliokufundisha tangu primary school hadi University,ungependa kukutana nani na kwa babu gani?

Binafsi mimi ningependa kukutana na:
1. Mwl.Rose a.k.a Bata,(primary school) huyu ndiye aliyenifanya nijue kusoma na kuandika.Alikuwa anatupenda sana.
2. Mwl. Ndemba,(O-level) huyu alinifanya nipende somo la Chemistry hadi leo nakaribia kugraduate my MD degree.
 

mi namkumbuka Mwl Zenda{primary} a.k.a<bize> Coz alnifanya npende hesabu na pia alnsababishia hata nfaulu hesabu O-level 2.Mwl Ndunguru Coz ni mwalimu alyekuwa anajtuma xaana kufundisha ndiye aliyenisababishia nifaulu biology na chemistry O-level 3.Mwl kabanga{primary} huyu ndie alienifundisha kusoma na kuandika enzi zile za vdudu na pia alkuwa anatufundisha nyimbo mbalmbal,daaa! enzi za vidudu ikuwa raha kwelkwel na huyu ticha wetuu% "MUNGU AWABARIK WALIMU WOOTEE COZ NDIO WALIONIPA MIMI UJANJA LEO HII"
 
dah maticha wengi sana nimepitia mikonon mwao...ila hawa sintawasahau!
1)Mr mkuki huyu amenifundisha maths,na ndiye aliyenifanya niipende na kuifaulu pia nikiwa a-levo
2)madam kasanga huyu alinifanya niiweze g.s na mwisho wa siku nikaifaulu,kamwe sintamsahau kwa ushauri wake ambao ulinisaidia sana....
3)Br martin aka mjerumani,huyu alikua anatukimbiza mchaka mchaka kama tukichelewa pared..
4)Mr allan huyu alikua anafundisha uchumi na geograghy,kamwe sintamsahau kwa ufundishaji wake! i love them all!!!!!
 
Mi nawakumbuka WALIMU hawa kwa S/YA MSINGI
1.KABUNDUGURU
2.KITIA. -Hawa ndo waliniwezesha kujua kusoma kuandika na Kuhesabu.
3.Mr MAGAWA- SAYANSI,JIOGRAFIA
4.AMINA MJASIRI-Kiingereza
O-LEVEL
Madamme CHILEWA
Madamme KIULA
VETA-
Joseph Nyembekwa
C.LIHAYA
R.TELAKI -Wamenifundisha UCHORAJI NA USANIFU WA RAMANI-
CHUO KIKUU Niwashukuru
BEVERLEY KILIAN
FIONA BULMAN
SARA MACMASTER
ZAMO HLELA wa KWAZULU NATAL
Hao wote wamenifanya kuwa bora ktk Taaluma walizonifundisha
 
Binafsi kwa A-level simpi credit hata mmoja kwa sababu,kwa kiasi kikubwa tuition ndio ilinisaidia. Wengi wao walikuwa wanadoji vipindi ile mbaya!

Kwa mbaaali,namkumbuka babu Muna alikuwa anatufundisha Biology huku amemelewa chakari! Waliosoma Mazengo miaka michache kabla haijafungwa watakuwa wanamkumbuka sana babu yule.Hata sijui kama bado yupo hai!
 

Jisemee ukweli mwaya
 
mwalim nicholaus herman a.k.a kinunda,uliyenifundisha A. Leval mathematics pale old moshi secondary school, amani kwako mwalim, na Mungu akubariki sana,, na mwenzako mwalimu msami a.k.a p.diddy, mtaalam wa fizikia ya A.lvl.. Kwa kweli u made me who i am today,,,
mwalim besha, ardhi university lecturer, ubarikiwe sana pia kwa kunifundisha na kunielewesha architecture vyema,,,
 
A-Level
Mr Mahenge - BAM pale Mkwawa High School
Mr. Philipo - Biology pale Mkwawa High School

Mr Kapufi Mwene - Namanyere Secondary
 
O-level MR.MRINA Mkali wa Hesabu MAJENGO SEC. respect 2u man!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…