Pre GE2025 Wakati mwingine, mwanasiasa huamia chama kingine ili kupumzisha akili, Msigwa rudi chadema!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Asalaam aleykum,
Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Katibu Mkuu wa CCM, aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM.
In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama.

ngoja tuone kama imekaaje kwanza.

kuama=kuhama
 
Asalaam aleykum,
Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Katibu Mkuu wa CCM, aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM.
In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama.
Naunga mkono hoja 100%
 
Akialikwa kurejea CHADEMA ndio ndio tutajua alienda huko CCM kwa hasira au amefuata vyeo vya kiimla vya kusimikwa 😆😂.

Anyway... namsubiri kwa hamu sana Dr.Slaa mapambano ya kweli yaanze Dr.Slaa anaweza sana amsha amsha.

hq720.jpg

#Free Dr.Slaa
 
Slaa arudi, msigwa arude lakini Halima hamumtaki sio?
 
Asalaam aleykum,
Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Katibu Mkuu wa CCM, aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM.
In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama.

Soma: Msigwa atupa dongo kwa Mbowe baada ya kushindwa Uchaguzi CHADEMA asema "Shimo alilonichimbia mimi ametumbukia mwenyewe"
Wee hawezi kurudi.. Tayari ni mateka kule.. Na keshakula vya watu na kuvirudisha hawezi😂😂😂
 
Ni vizuri chaguzi zote ambazo zilileta lawama ndani ya chadema hasa zile za kanda ZIRUDIWE UPYA KWA UWAZI.
 
Back
Top Bottom