Pre GE2025 Wakati mwingine, mwanasiasa huamia chama kingine ili kupumzisha akili, Msigwa rudi chadema!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428

ngoja tuone kama imekaaje kwanza.

kuama=kuhama
 
Naunga mkono hoja 100%
 
Akialikwa kurejea CHADEMA ndio ndio tutajua alienda huko CCM kwa hasira au amefuata vyeo vya kiimla vya kusimikwa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚.

Anyway... namsubiri kwa hamu sana Dr.Slaa mapambano ya kweli yaanze Dr.Slaa anaweza sana amsha amsha.


#Free Dr.Slaa
 
Slaa arudi, msigwa arude lakini Halima hamumtaki sio?
 
Wee hawezi kurudi.. Tayari ni mateka kule.. Na keshakula vya watu na kuvirudisha hawezi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ni vizuri chaguzi zote ambazo zilileta lawama ndani ya chadema hasa zile za kanda ZIRUDIWE UPYA KWA UWAZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ