Asante sana kwa kututengenezea daraja mkuu.Wakuu wangu Glenn na ephen_ Asanteni sana.. Uungwana wenu umetufundisha kitu kikubwa sana[emoji173][emoji173][emoji173] Mbarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mazingira, kuna nyakati inabidi ufanye[emoji848][emoji2827]ni kama kuona baba anaomba msamaha kwa bintiwe
sijazoea
Huwezi jua nimefarijika kiasi gani[emoji1545][emoji1545]Asante sana kwa kututengenezea daraja mkuu.
Ni kweli nilimuuzi ephen_ kwenye jukwaa flani lakini kupitia hapa nimesamehewa mkuu
Wewe ni kaka yangu na mtu muhimu sana, nakiri nilichelewa kukuelewa
Ndo uchukue notes, past paper hapo!😂ni kama kuona baba anaomba msamaha kwa bintiwe
sijazoea
pamoja sana mzee wanguMImi ndivyo nilivyo mkuu, nikigundua nilikuudhi nitakuomba radhi bila kujali wewe ni mdogo kwangu.
Ni kweli ephen_ ni mdogo kama binti yangu tu
na we binti una kiburi msamaha unaombwa saa 9 unajibu saa 11😁Ndo uchukue notes, past paper hapo!😂
Nilikua nadeka kwanza!na we binti una kiburi msamaha unaombwa saa 9 unajibu saa 11😁
Kwa ukarimu nikunyime nini mimi mkuu?Mkuu! Sina udogo huo wa kua binti yako
Labda kama kuna kitu unataka kuninyima😄
Unastahili sanaNilikua nadeka kwanza!
[emoji1545][emoji1545][emoji173][emoji173][emoji419][emoji375]Wewe ni kaka yangu na mtu muhimu sana, nakiri nilichelewa kukuelewa
Karibu[mention]Mshana Jr [/mention] kaka mkubwa I have something to share with you private . Nina imani unaweza kunisaidia
Siwezi kukuPM
KumbeMimi huwa nasamehe watu lkn nasamehe vibaya "Apology Accepted, Access denied"