sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yaani ukimuandaa mtoto wako saizi unakuta huyo mtoto mpaka afike 25 anaexperience ya kutosha kwenye business kuliko walihitimu vyuo maana anajua ups and downs za business (mfano hai ni watoto wa waarabu)
Pia, anajifunza namna ya kuinvest na risk zake hata anaweza foresee future ya business, Sasa hawa wetu wengi tunakosea kuwasubirisha matokeo yake wanajua baba Ana hela yy kula kulala hataki kwenda hata shamba kusimamia na kujifunza na ukijaribu wife anaingilia Kati eti unamtesa mwanae ambae kutwa kushinda kwenye magemu, fifa, unazi wa mpira usio na msingi na movie kweli hapo kwann ukifa waanze kuuza mali kwa bei ya hasara.