Wakati najiuza niliwafanyisha watu mapenzi na fisi bila ya wao kujua

WAKATI NAJIUZA NILIWAFANYISHA WATU MAPENZI NA FISI BILA YA WAO KUJUA 06

Ajabu, uume wake haukuwa kawaida, kwa mbele ulikuwa na kichwa cha nyoka, muda wote nyoka alitoa ulimi, ajabu zaidi sikuogopa hata kidogo. Nami nilivua nguo nikawa kama nilivyozaliwa.

Alinshika na kunilaza ktandani.

Alinyosha mkono wa kushoto juu chupa ndogo sana ikatokea kwenye mkono wake.

Aliifungua ile chupa na kuyamwaga yale maji kwenye uume wake.

“ Baada ya kulala na mzimu wangu, kila mwanaume utakayelala nae atarudi tena. Watakusifu mtamu na hawatakuacha Hata ukisema unajiuza kwa milion .. na huu utamu ninaouweka kwako na kwa fisi wako pia utakuwepo..” Aliniambia.

Aliumwagia uume yale maji, kila alipoyamwaga kile kichwa cha nyoka kiliyalamba yale maji hadi yalipoisha. Alipomaliza alinishika miguu na kumsogeza nyoka wake kwangu.

Gafla.

“ Aaaa..aaaaaa…aaaaaaaaaaaaaa’ Alipiga kelele isivyo kawaida baada ya kchwa cha nyoka kugusa maungo yangu.

“ Tokaaa…tokaaaaaaa…” Alinifokea na kupga kelele.

Niliduwaaa.

Nyoka wake nae alipiga kelele na kujikunja kunja. Kila alpojikunja, yule mzee alipiga kelele isivyokuwa kawaida. Alijiangusha angusha chini na kupga kelele .

……………………….

Nusu saa mbele alitulia.

“ Naomba uondoke hapa..ondokaaaa haraka..” ALniambia.

Kaul yake hii ni kama ilinishtua toka usingizini! Nilishangaa kuwa mle ndani.

“ Nimefikaje hapa?” Nilimuulza.

“ Toka hapaaaa bwanaaa..sitak kukuonaaaa…” Aliniambia.

Niliduwaaa.

Haraka ubongo wangu ulifanya kazi nikakumbuka jinsi alivyoninyoshea kdole na kutamka maneno ya ajabu pale grosary.

“ Ulinichezea akili?” Nlmuulza.

“ Ndio! Nilikuchezea kwakuwa nlitaka kukusaidia. Nlitaka ujiuze kupitia fisi kama wale wenzako, ila kwako imeshindikana..imeshndiakana kabisaa…hiyo ondoka..ondoka harakaaa.” ALongea kwa hasira sana yule mzeee.

Niliduwaaa.

Alifungua mlango na kunisukuma kwa nje.

Kwakuwa akil yangu ilirudi sikushangaaa! Haraka sana nlitoka eneo lle na kuelekea nyumbani. Njia nzima nilijiuliza klichotokea. Nilijiulza jinsi ilivyokuwa hadi nikaingia chumbani na yule mzeee.

‘ Katka mazingra ya kawaida ukimuona mwanaume uume wake unakichwa cha nyoka lazima ushangae na upige kelele! iLikuwaje sikupiga kelele! ilikuwaje nikamuacha hadi akataka kuniingia na nyoka wake?” Nilijiulza na kujiulza pasipokuwa na majibu.

Kimoyo moyo nilimlaani sana yule mzee!

Nikiwa nakaribia nyumbani, kwa nyuma nilisikia sauti yake akiniita. Sikumjali. Moja kwa moja nilienda nyumbani . Nilifungua mlango, lakini ile naingia tu. Loooh! Huwezi kuamini.

Niliwakuta fisi wawili wakiwa wananitazama
Nakuja
 
Kazi kwenu mnaokula vya mtaani
 
duh hatari

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…