Alvin John
Member
- Mar 27, 2018
- 56
- 25
Asante sana ndugu.. Barcode unarenew kila mwaka mkuu ila QR Code ni lifetime hakuna kurenew na Barcode ni gharama zaidi ila huwezi kuweka vitu vingi, sanasana ni bei ya bidhaa tu ila QR Code unaweka full details kuhusu wewe pamoja na bidhaa yako.Hongera mkuu
Tofauti yake ni nini na bar code?
Imekaa vema sanaAsante sana ndugu.. Barcode unarenew kila mwaka mkuu ila QR Code ni lifetime hakuna kurenew na Barcode ni gharama zaidi ila huwezi kuweka vitu vingi, sanasana ni bei ya bidhaa tu ila QR Code unaweka full details kuhusu wewe pamoja na bidhaa yako.
Ipandishe kwenye post yako hapo juu mkuu!.Sawa ndugu naweka hii hapa View attachment 766387
hii huduma ya QR Code usajiri wake ukoje mpaka uende brella kusajiri au inakuwaje?Asante sana ndugu.. Barcode unarenew kila mwaka mkuu ila QR Code ni lifetime hakuna kurenew na Barcode ni gharama zaidi ila huwezi kuweka vitu vingi, sanasana ni bei ya bidhaa tu ila QR Code unaweka full details kuhusu wewe pamoja na bidhaa yako.
Sawa ndugu nafanya hivyo.. ShukranIpandishe kwenye post yako hapo juu mkuu!.
Hapana.. Sio lazima uende brella, hii utaipata hata ukiwa nyumbani kwako muhimu ututumie details zako unazotaka zionekane hapo kwenye QR Code. Barcode ndio inamlolongo mrefu hadi uende GSMhii huduma ya QR Code usajiri wake ukoje mpaka uende brella kusajiri au inakuwaje?
Kuna matomaso na wavivu wa google wawekee kapicha ka QR Code wakaone!.
Yawezekana hawajui hata unachozungumzia mkuu.
Hey sijakuelewa!.
Kkoo kuna watu wanaingiza nyimbo kwenye simu na kuunga internetBiashara anayofanya ni sawa na kutoa huduma ya kusajili akaunti za Facebook kwa gharama nafuu
Sijakuelewa mkuu hebu fafanua tafadhali..Punguza bei hiyo la si hivyo ntakutengenezea QR code
10,000 akipata watu 10 ana shilingi ngapi? Kuna watu wengi wanalipwa 3000,5700 na 6000 kwa siku tena kazi ngumu ya kushinda juani. Tusipende kubeza kazi za watuBiashara anayofanya ni sawa na kutoa huduma ya kusajili akaunti za Facebook kwa gharama nafuu
Nashukuru kwa kumuelewesha.. asante10,0000 akipata watu 10 ana shilingi ngapi? Kuna watu wengi wanalipwa 3000,5700 na 6000 kwa siku tena kazi ngumu ya kushinda juani. Tusipende kubeza kazi za watu