Alvin John
Member
- Mar 27, 2018
- 56
- 25
- Thread starter
-
- #21
Nadhani ungekuwa na uhitaji nayo ungelipa tu utengenezewe.. Jiulize kwanini hao kina mengi wanatoa hiyo pesa ya kutengenezewa vidotidoti kwaajili ya kuweka kwenye maji yake ya kilimanjaro na bakhresa nae analipa kwaajii ya kuweka kwenye bidhaa zake... Usishobokee usichokijua, samahan kwa kauli mbaya nakurekebisha tuYaani mi nakupa hela unitengenezee tudoti doti.!!! Dunia imefika mbali naomba isimame nishuke.
Nashukuru kaka kwa support yakokwa kweli ni jitihada kubwa kuweza kuitumia hiyo teknolojia, na wengine hatuwezi. ni bora kusifia alivyoweza na kutoa huduma kwa bei nafuu ya tsh 10000, kuliko ubeza na haujui
Ushanichanganya sasa, kwa nini sasa watu wahangaike na bar code na kwa gharama kubwa ilihali kuna hii yako kwa bei ya kutupa??Hapana.. Sio lazima uende brella, hii utaipata hata ukiwa nyumbani kwako muhimu ututumie details zako unazotaka zionekane hapo kwenye QR Code. Barcode ndio inamlolongo mrefu hadi uende GSM
Kwa hiyo na wewe ni kama hao??Kkoo kuna watu wanaingiza nyimbo kwenye simu na kuunga internet
Nafurahi kwa swali zuri.. Wengi hutumia barcode baada ya kusajili biashara au bidhaa zao kwasababu huwezi kupata barcode bila kuwa na leseni ya biashara na tin number! Bidhaa nyingi huwekwa barcode kwaajili ya kuonyesha bei, eneo la kiwanda au tovuti ya kampuni inayomiliki bidhaa husika. Qr code huwekwa kwenye bidhaa kwaajili ya kuonyesha bei, location, details za mtengenezaji, tovuti ila pia unaweza kuweka vyote hivyo kwenye qr code moja ila kwenye barcode huwezi. Sababu kubwa ya kutumia barcode zaidi ni kwasababu huwezi kuitumia barcode kwenye bidhaa ambayo haijasajiliwa ndio maana wafanyabiashara wengi wanaitumia ili bidhaa zao ziwe na thamani zaidi na kuoneka halali zaidi. ila Qr code unaweza kuitumia bila hata kusajili bidhaa yako na huifadhi details nyingi zaidi ya barcode muhimu umpate mtaalamu wa mtandao akutengenezee.Ushanichanganya sasa, kwa nini sasa watu wahangaike na bar code na kwa gharama kubwa ilihali kuna hii yako kwa bei ya kutupa??
Sasa umeeleweka mkuu. QR kwa sisi tunaoendesha mambo kinyemela.Nafurahi kwa swali zuri.. Wengi hutumia barcode baada ya kusajili biashara au bidhaa zao kwasababu huwezi kupata barcode bila kuwa na leseni ya biashara na tin number! Bidhaa nyingi huwekwa barcode kwaajili ya kuonyesha bei, eneo la kiwanda au tovuti ya kampuni inayomiliki bidhaa husika. Qr code huwekwa kwenye bidhaa kwaajili ya kuonyesha bei, location, details za mtengenezaji, tovuti ila pia unaweza kuweka vyote hivyo kwenye qr code moja ila kwenye barcode huwezi. Sababu kubwa ya kutumia barcode zaidi ni kwasababu huwezi kuitumia barcode kwenye bidhaa ambayo haijasajiliwa ndio maana wafanyabiashara wengi wanaitumia ili bidhaa zao ziwe na thamani zaidi na kuoneka halali zaidi. ila Qr code unaweza kuitumia bila hata kusajili bidhaa yako na huifadhi details nyingi zaidi ya barcode muhimu umpate mtaalamu wa mtandao akutengenezee.
Ushanichanganya sasa, kwa nini sasa watu wahangaike na bar code na kwa gharama kubwa ilihali kuna hii yako kwa bei ya kutupa??
Asante sana mkuu kwa swali zuri.. Jibu lako: Ukitaka kuwa na biashara iliyo hai kuna mambo kadhaa unapaswa kuzingatia ambayo ni kuwa na bidhaa bora, huduma nzuri lakini pia kuitangaza biashara yako.Uzi wako umekaa kichoyo mkuu unahisi kila mtu ni msoni na muelewa wa mambo kwa haraka..
Hebu niambie mimi mfanya biashara nauza nguo za dukani nazinunua kutoka china,thailand sasa hiyo qr code inahudikaje dukani kwangu/kwenye biashara yangu na faida yake ni ipi??
Hebu niambie mimi mfanyabishara nina duka la kuuza simu na vifaa vya simu kama ,usb cable,adapter,flash memory card na charger hiyo qr code inafanyaje kazi kwenye duka langu namimi nitanufaika vipi na hiyo qr code.
Asante sana mkuu kwa swali zuri.. Jibu lako: Ukitaka kuwa na biashara iliyo hai kuna mambo kadhaa unapaswa kuzingatia ambayo ni kuwa na bidhaa bora, huduma nzuri lakini pia kuitangaza biashara yako.
Kwa mtu kama wewe mwenye duka la nguo au la simu tutakutengenezea business card yenye maelezo mafupi ya biashara yako na hapohapo kwenye card tutakuwekea qr code yako, faida yake ni kwamba hiyo qr code itabeba details halali za mmiliki wa biashara/ bidhaa ama duka lako.
Faida yake: Qr code italinda bidhaa zako, mfano una-heat transfer yakuprint macover ya simu au tshirt zako tutakutengenezea qr code ndogo tu ambayo utaiprint kwenye bidhaa zako kwahiyo yeyote atakaenunua tshirt zako ataweza kuprint majina yake anayotaka ila ukiscan hako ka-code kadogo kwenye hiyo tshirt itakuletea details zako wewe unaeziuza zikiwa plain! Kwahiyo mteja atakutafuta wewe kwa kupitia hiyo qr code na yeye anunue tshirt zake plain.
Qr code unaweza kuiscan kwa app za simu nyingi sana zinazopatikana playstore, kwahiyo ni rahisi sana kusoma details zake.
Karibu sana mkuu.
Hapana, hautotengeneza nyingine ila utarudi kwetu na tutabadilisha maelezo ya code yako.Nimekuelewa vizuri sana kiongozi swali dogo la nyongesa
Je ikitokea nimepunguza kitu au nmeongeza kitu kwenye bidhaa zangu hiyo qr code ntatakiwa kutengeneza nyingine?
Swali jingine la nyongesa
Ukienda super market ukinunua kitu yule muuzaji anapitisha ile bidhaa kwenye mashine fulani kisha inasoma ile mashine inasoma bei ya ile bidhaa je ile mashine inaitwaje?utofauti wake na qr code upoje na faida zakw ikiwezekana..
Unapotengeneza business card ni unaitangaza na kuipa thamani biashara yako, lakini ukiongeza QR CODE kwenye card yako utaipa thamani zaidi biashara yako. Kwasababu asilimia kubwa ya wanaotumia code hizi ni wale waliosajili biashara zao na wengi wao wanamasoko makubwa, kwahiyo uatakapoitumia code hii utamvutia mteja zaidi na kumpa uhakika mkubwa wa uhalali wa biashara au bidhaa yako.QR code kwenye business card ina faida gani?
Shukrani pia.Shukurani kiongozi nimejifunza mambo mengi kwa niaba ya watanzania wenzangu wasio na uelewa wa mambo haya.
Naamini watapita hapa na watakua wateja wako wa moja kwa moja ama wateja kwa maana ya kuwatoa tongotongo
Natengeneza QR Code kwaajili ya kuitumia kwenye biashara yako au business card yako kwa bei nafuu kabisa ya offer sawa na bure! Faida ya QR Code kwa mfanyabiashara au mjasiriamali ni kwamba hufanya bidhaa yako au biashara yako kuwa ya thamani na yenye kupokelewa vizuri zaidi, pia QR Code huifadhi mawasiliano yako pamoja na maelezo ya bidhaa au biashara yako kwa kaalama kadogo tu ambacho hakitachukua nafasi kubwa mahali hapo utakapoiweka.
QR Code hutumika dunia nzima kwa wafanyabiashara wakubwa sana na wadogo pia, mfano.. Waangalie akina Deskjet kwenye packing za printer zao kuna QR Code, tecno, samsung, nokia na nyingine nyingi. Tanzania angalia bidhaa za kina Mh.Mengi (Kilimanjaro water), Mh.Bakhresa (Uhai) na Mh.Mo (Masafi) kwote huko utaona hii QR Code ikiweka ubora zaidi na thamani kubwa kwenye bidhaa zao zinazosambaa sehemu kubwa ya dunia.
Unasubiri nini?! Pata leo QR CODE yako uitumie milele hadi Mungu atakapokunyamazisha mwenyewe, ipate kwa bei nafuu kabisa ya Tzsh.30,000/= tu, karibu.. Asante.
Affiliate:
Niletee mteja mmoja wa QR CODE nikulipe Tsh.5000/= Hakuna kikomo cha kuleta wateja.
5000*10=50,000.. changamkia hii fursa, usione ndogo! Wengi walianza hivi ila sasa ni ma-agent wa makampuni makubwa na maisha yao ni safi.
Phone: +255 688 072 587
Hii ndio QR Code View attachment 766567
Ni alama ndogo ya kielektroniki inayobeba bei ya bidhaa, huduma fulani, maelezo ya bidhaa yako au biashara yako. Code hii huilinda bidhaa yako kwenye suala zima la umiliki lakini pia huipa thamani biashara yako.Nipe elimu kwanza qr code ni kitu gani manake naonagaaa onaga
Vp nikitengeneza coupon za kiingilio kila mmoja kwa namba yake....akifika mlangoni anaskan anaingia. Itanicost ngapiNi alama ndogo ya kielektroniki inayobeba bei ya bidhaa, huduma fulani, maelezo ya bidhaa yako au biashara yako. Code hii huilinda bidhaa yako kwenye suala zima la umiliki lakini pia huipa thamani biashara yako.
Mfano: Wewe unatengeneza fresh juice na kuzipaki kwenye chupa, juice zako zikawa nzuri wafanyabiashara wengine wakaanza kukuibia bidhaa yako kwa kununua kwa jumla kisha wanatoa lebo yako kwenye hizo juice wanabandika lebo zao ili nao wapate wateja... ili kusuluhisha hilo tutakutengenezea QR CODE ya bidhaa zako na tutaiprint kwenye chupa zinazobeba juice yako kwahiyo huyo anayeiba ataweza kubandua lebo yako tu lakini hatawaeza kutoa ile QR CODE kwasababu imeprintiwa kwenye chupa moja kwa moja na bidhaa ile ikipelekwa kwenye masoko makubwa lazima wascan zile code kwahiyo wataona details za mmiliki halali wa bidhaa ile na kumkata aliyebadili jina...
Ndiomaana code hizi hutumiwa sana na watu wenye biashara kubwa na masoko makubwa kuanzia supermarkets.. nk.
Karibu.