jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 476
- 636
Hakuna gharama yeyote mkuu, alifanyalo ndio ujira wake...Karibu Sana.Na wanaume watabeba mimba?....
Huko kumuona apostle Tanzania shiling ngap?
Kubwa zaidi ni Hilo, lakini pia yatakuwepo ya ziada mkuu.Na wanaume watabeba mimba?....
Huko kumuona apostle Tanzania shiling ngap?
Samahani Kiongozi! Hivi Apostle Luciana tayari ameshaolewa? Maana nilivyo muona tu kwenye hilo tangazo lenu, naona mapigo yangu ya moyo yanaenda mbio kumshinda mpaka mwanariadha mashuhuri Usain Bolt. 😩Tunayo furaha kuwaalika kwenye kongamano maalum kati ya tarehe 27 na 28 September, 2024. Kongamano hili litaongozwa na Apostle Luciana,(Mbezi Beach_Bondeni) kuanzia saa nane Kamili mchana.
Mnakaribishwa wote,,,Na usisite kuwafikishia habari hizi njema watu wote!
#Shukrani#
Chakula kitakuwepo ?Tunayo furaha kuwaalika kwenye kongamano maalum kati ya tarehe 27 na 28 September, 2024. Kongamano hili litaongozwa na Apostle Luciana,(Mbezi Beach_Bondeni) kuanzia saa nane Kamili mchana.
Mnakaribishwa wote,,,Na usisite kuwafikishia habari hizi njema watu wote!
#Shukrani#