Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimehifadhi majina yao kwa sababu maalummpaka huruma wanahaha!!! Guardiola wao ni huyo mzee!!!
View attachment 619041
kwa misosi hii unategemea nini!Nimehifadhi majina yao kwa sababu maalum
Au unataka tuchezeshe wachezaji saba tu!! na karibu uwanja tunaujaza mbona mnaogopa kuja!!! MANARA akiwatishia kidogo mnaogopa yule msemaji wenu anashindwa hata cha kusema.MASKINI BEN TEN!!!Mambumbumbu mna shida sana kiwango gani ilicho nacho simba kwa wakati huu
CHEKI MNYAMA ANAINGIA NA CONFIDENCE KIBAO!Au unataka tuchezeshe wachezaji saba tu!! na karibu uwanja tunaujaza mbona mnaogopa kuja!!! MANARA akiwatishia kidogo mnaogopa yule msemaji wenu anashindwa hata cha kusema.MASKINI BEN TEN!!!
View attachment 619058
Hatari !!!!Mnyamaaaaaaa
Asante mkuu , ni makosa ya uandishi tu , nimerekebisha .Tactiacian!