Wakati Simba inajiandaa kwenda Misri kucheza michuano ya CAF, Yanga inajiandaa kwenda Kigoma kucheza na Mashujaa

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Kwa hakika SIMBA ni timu kubwa sana afrika just imagine wakati tunajiandaa kucheza na almasry kwenye michuano ya CAF, yanga wanaenda kucheza ndondo cup na mashujaa kigoma.

Ifike muda muache kuifananisha SIMBA na vitu vya kijinga sawa.
 
Tulishatoka huko kwenye michuano ya U17, Mbumbumbu siku zote ni Mbumbumbu tu!
GVl8aDbXUAAdFOT.jpeg
 
Kwa hakika SIMBA ni timu kubwa sana afrika just imagine wakati tunajiandaa kucheza na almasry kwenye michuano ya CAF, yanga wanaenda kucheza ndondo cup na mashujaa kigoma.

Ifike muda muache kuifananisha SIMBA na vitu vya kijinga sawa.
Mlisha Toka huko kwana Sasa mnaenda wapi?
 
Kwa hakika SIMBA ni timu kubwa sana afrika just imagine wakati tunajiandaa kucheza na almasry kwenye michuano ya CAF, yanga wanaenda kucheza ndondo cup na mashujaa kigoma.

Ifike muda muache kuifananisha SIMBA na vitu vya kijinga sawa.
Sawa Sawa mkuu
 
Safari kinyongeee...na ya mwishooo....!!
 
Back
Top Bottom