GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani tarehe 16 Februari tulikuwa tunashindania nini?Kwani labda Simba niwaulize swali rahisi,ati huko mnakoeenda mnaenda kushindania nini?....poleni in advance.Nawasilisha.
Mnakimbilia ya uarabuni wakati waarabu wote wameachia pointi 6.Uko uarabuni mnenda kufanya shopping ya magòli tu mnapigwa goli 5 mkirudi kimya kimya wala hamtutangazii kama mmerudi