Uzalendo ni mapenzi kwa Nchi na siyo Mtu..View attachment 1515728View attachment 1515729
Wakuu wote kama taifa tumepatwa na msiba baada ya kuondoka kwa Rais mstaafu Ndugu Benjamin W. Mkapa na tumetangaziwa kuwa na maombolezo ya kitaifa kwa siku 7. Katika pita pita zangu nimeona kuwa kuna bonanza kubwa lililopangwa kufanyika tarehe 25/07/2020 katika viwanja vya posta jijini Dar es Salaam na watanzania waliopo katika mtandao wa twitter maarufu kama TOT Bonanza. Je jambo hili ni sahihi ama linaleta ukakasi katika suala zima la uzalendo wetu ?
Kwani kipindi hiki cha maombolezo kumbi za starehe zimefungwa?View attachment 1515728View attachment 1515729
Wakuu wote kama taifa tumepatwa na msiba baada ya kuondoka kwa Rais mstaafu Ndugu Benjamin W. Mkapa na tumetangaziwa kuwa na maombolezo ya kitaifa kwa siku 7. Katika pita pita zangu nimeona kuwa kuna bonanza kubwa lililopangwa kufanyika tarehe 25/07/2020 katika viwanja vya posta jijini Dar es Salaam na watanzania waliopo katika mtandao wa twitter maarufu kama TOT Bonanza. Je jambo hili ni sahihi ama linaleta ukakasi katika suala zima la uzalendo wetu ?
Sio mapumziko mkuu ni maombolezo, pia kwa kawaida mkiwa kwenye maombolezo hampaswi kufanya masherehe wala madiskoNikuulize wewe Jamaa, Mapumziko siku 7, unataka kuniambia watu hawaendi Kazini?
Ki kawaida inabidi iwe hivyoKwani kipindi hiki cha maombolezo kumbi za starehe zimefungwa?
Haitakuwa haki, watu wakose mapato kisa mtu kafariki, mbona kazini tunaenda Kama kawaida. Walioguswa na msiba wataenda msibani wengine tunaomboleza kimoyomoyo shughuli nyingine na starehe zinaendelea kama kawaida.Ki kawaida inabidi iwe hivyo
Upo sahihi sema tunatofautiana upeo wa kufikiriSio mapumziko mkuu ni maombolezo, pia kwa kawaida mkiwa kwenye maombolezo hampaswi kufanya masherehe wala madisko