Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilidhani ni huku Nyarugusu tu kumbe hadi Mukuranga. Magufuli fufuka tunateseka baba.Mkuranga kuna nini pale, maana hadi leo Jumatatu watumishi wa umma hawajalipwa, lakini nasikia maeneo mengine Tanzania watu walishalipwa na sasa wanakula jasho lao tu.
Mkuranga kuna nini pale?
Mbona huku Shinyanga salary tayari?Mwisho wa mwezi bado mkae kwa kutulia
Kwa nini unaninitafuta lakini?Mimi nilidhani ni huku Nyarugusu tu kumbe hadi Mukuranga. Magufuli fufuka tunateseka baba.
Magonjwa Mtambuka
Shauri yako winter inakuja libaridi litakupiga.Aisee Magonjwa chalii yangu niko hapa Hammerfest Norway naponda raha na bibi la kizungu
Mkuranga kuna nini pale, maana hadi leo Jumatatu watumishi wa umma hawajalipwa, lakini nasikia maeneo mengine Tanzania watu walishalipwa na sasa wanakula jasho lao tu.
Mkuranga kuna nini pale?
Mmeumbwa kubisha tu hata msiyoyajua? Ileje kuna watu mpaka Leo hawajapata mshahara halafu unabisha tu.Acha uongo mkuu
Kwani mshahara hutoka Kila baada ya siku ngapi?Kumbe haijatoka hadi muda huu saa 6:20 mchana.
Sasa uongo wangu uko wapi?