Wakati tukishangilia tukumbuke Mwisho wetu huwa ni ROBO Fainali

Wakati tukishangilia tukumbuke Mwisho wetu huwa ni ROBO Fainali

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Wakuu niwakumbushe wana 5imba ya kuwa washangilie ushindi ila wasisahau hii robo fainali waliyoingia leo ndio huwa hatua yao ya mwisho.

Yaani hata walipoanzia robo kwenye African Football League waliishia hapo hapo robo.

Hongereni sana Mwakarobo kwa kupiga bomu mochwari
 
Kufungwa afungwe Jwaneng, tabu apate mtu wa kidimbwi inahuuu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu niwakumbushe wana 5imba ya kuwa washangilie ushindi ila wasisahau hii robo fainali waliyoingia leo ndio huwa hatua yao ya mwisho.

Yaani hata walipoanzia robo kwenye African Football League waliishia hapo hapo robo.

Hongereni sana Mwakarobo kwa kupiga bomu mochwari
Sawa Tu hakuna shida, mbona hivyo lakini?
 
Naskia ushindi wa Makolo....ni WA bahasha ....[emoji32]
Ungekuwa una 'AK………' hata robo tu ya WALE WAWILI, basi ungejipiga ban hata ya kuchangia uzi wowote unao ihusu Simba,hata kwa siku moja. Kwani ulishaomba upigwe ban, kama Simba itashinda! Lakini kwa vile huna hata aibu… . aaaaaa…. unaona sawa tuuuu!
 
Simba kufika robo final siyo story.Kichekesho kitaanza hiyo robo ikianza sasa🤣🤣
 
Kuna maupuuzi yanaandikwa humu, mpaka aibu unaona wewe
ili jukwaa kama ingewezekana ingefanyika Standarization tu maana linataka taka Nyingi Sana kuna Mda hutamani Hat kufungua Maana kuna Vitu vya ajabu vingi Sana mi Nyuzi mingi isiyo na kichwa wala miguu
 
Kwa hawa miamba yaani Mamelodi,Ahlyl na Petro Luanda sioni Simba akipenya kwenda popote...Yanga anayo nafasi kama atapangiwa asec au Petro Luanda.
 
Back
Top Bottom