babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Sawa Tu hakuna shida, mbona hivyo lakini?Wakuu niwakumbushe wana 5imba ya kuwa washangilie ushindi ila wasisahau hii robo fainali waliyoingia leo ndio huwa hatua yao ya mwisho.
Yaani hata walipoanzia robo kwenye African Football League waliishia hapo hapo robo.
Hongereni sana Mwakarobo kwa kupiga bomu mochwari
Ungekuwa una 'AK………' hata robo tu ya WALE WAWILI, basi ungejipiga ban hata ya kuchangia uzi wowote unao ihusu Simba,hata kwa siku moja. Kwani ulishaomba upigwe ban, kama Simba itashinda! Lakini kwa vile huna hata aibu… . aaaaaa…. unaona sawa tuuuu!Naskia ushindi wa Makolo....ni WA bahasha ....[emoji32]
ili jukwaa kama ingewezekana ingefanyika Standarization tu maana linataka taka Nyingi Sana kuna Mda hutamani Hat kufungua Maana kuna Vitu vya ajabu vingi Sana mi Nyuzi mingi isiyo na kichwa wala miguuKuna maupuuzi yanaandikwa humu, mpaka aibu unaona wewe