Wakati tukisikitikia Draw, wengine Wanashangilia Draw

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Mji mzima leo wanaongea wao...wamefurahia sana suluhu na toka jana baada ya game wamelewa sana katika ma pub kwa furaha

Tunasema tukutane 2nd round.
 
We mabeki wanachezea matobo, Kipa anapoteana na ma beki wake wakati, timu muda wote inapiga viatu, timu haiwezi kucheza pasi Tano, Kipa muda wote anapiga mbele ataki kumuamini yoyote alafu unataka watu wasishangilie sare!!!
 
[emoji23][emoji23]
 
Na makolo yashukuru aucho na moloko hawakuwepo
Mji mzima leo wanaongea wao...wamefurahia sana suluhu na toka jana baada ya game wamelewa sana katika ma pub kwa furaha

Tunasema tukutane 2nd round.
 
Na tushukuru mungu mayele, aucho, Fei, moloko hawakuwepo lasivyo lingekufa jitu.
 
We mabeki wanachezea matobo, Kipa anapoteana na ma beki wake wakati, timu muda wote inapiga viatu, timu haiwezi kucheza pasi Tano, Kipa muda wote anapiga mbele ataki kumuamini yoyote alafu unataka watu wasishangilie sare!!!
Kuna kipa alipigiwa shuti moja tu akatamani mpira uishe
 
Mji mzima leo wanaongea wao...wamefurahia sana suluhu na toka jana baada ya game wamelewa sana katika ma pub kwa furaha

Tunasema tukutane 2nd round.
Aisee walipombeka jana,tunda man nyimbo yke ilipigwa sana baada ya game dro ilikuwa tamu kwao asikwambie mtu[emoji851][emoji851][emoji851]
 
Kuanzia asubuhi wapo bar wanakunywa na kufurahi baada ya kupata sare ya jana
 
Yaani tunalipa pesa tupate burudani watu wanachelewesha mpira ili wapate draw kipa anaumia bila kuguswa na mtu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…