ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Mji mzima leo wanaongea wao...wamefurahia sana suluhu na toka jana baada ya game wamelewa sana katika ma pub kwa furaha
Tunasema tukutane 2nd round.
Tunasema tukutane 2nd round.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]We mabeki wanachezea matobo, Kipa anapoteana na ma beki wake wakati, timu muda wote inapiga viatu, timu haiwezi kucheza pasi Tano, Kipa muda wote anapiga mbele ataki kumuamini yoyote alafu unataka watu wasishangilie sare!!!
Mji mzima leo wanaongea wao...wamefurahia sana suluhu na toka jana baada ya game wamelewa sana katika ma pub kwa furaha
Tunasema tukutane 2nd round.
Enzi ya Makolo imeisha, jamaa WAMESHEREHEKEA sare mwanzo mwisho.kweli zama zinabadilika leo hii simba ni wa kushangilia suluhu na yanga
Kuna kipa alipigiwa shuti moja tu akatamani mpira uisheWe mabeki wanachezea matobo, Kipa anapoteana na ma beki wake wakati, timu muda wote inapiga viatu, timu haiwezi kucheza pasi Tano, Kipa muda wote anapiga mbele ataki kumuamini yoyote alafu unataka watu wasishangilie sare!!!
Tena akaanza kupoteza muda!Kuna kipa alipigiwa shuti moja tu akatamani mpira uishe
Aisee walipombeka jana,tunda man nyimbo yke ilipigwa sana baada ya game dro ilikuwa tamu kwao asikwambie mtu[emoji851][emoji851][emoji851]Mji mzima leo wanaongea wao...wamefurahia sana suluhu na toka jana baada ya game wamelewa sana katika ma pub kwa furaha
Tunasema tukutane 2nd round.
Hahaaa hata benchi hawakuwepoNa makolo yashukuru aucho na moloko hawakuwepo