M MAISHA RAHA New Member Joined Jun 5, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Jan 28, 2013 #1 Hivi ni kweli tanzania haihitaji katiba mpya, bali quran ndiyo inayotakiwa itoe hukumu kwa wananchi wa tanzania??? Angalia picha na usome ujumbe ulioko kwenye hilo vazi la mtu huyo ninayeamini ni mtanzania. Tafakari; toa maoni yako. Attachments IMG_20130123_172902.jpg 115.1 KB · Views: 113
Hivi ni kweli tanzania haihitaji katiba mpya, bali quran ndiyo inayotakiwa itoe hukumu kwa wananchi wa tanzania??? Angalia picha na usome ujumbe ulioko kwenye hilo vazi la mtu huyo ninayeamini ni mtanzania. Tafakari; toa maoni yako.
MOn'goO JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 333 Reaction score 128 Jan 28, 2013 #2 Mkuu kazi ipoo... MUNGU IBARIKI TANZANIA