Wakati tunaambiwa visa vya corona vimepungua, watalii wameambiwa na Uingereza kuwa visa vinaongezeka

Mungu wabariki Wazungu
 
Si kuwa Wachawi bali ni taratibu za kujikinga kufuatwa. Kwanini watalii waingie bila kuwekwa karantini ya siku 14 wakati kuna uwezekano mkubwa nao ni waathirika?
Na wanaweza kuleta covid iliyo mutate ikawa tabu nyingine.
Yafaa wakae quarantine.
 
Reactions: BAK
Ikiwa taarifa ya madereva 51 kukutwa na corona mpakani ni ya kweli ni dhahiri ugonjwa umeongezeka. Jikinge na uwakinge wengine.
 
Hilo tangazo ni la wiki nyuma kabla hotuba ya Rais Jumapili. Labda utuwekee updates zake vinginevyo watalii watakuja tu dada.
Mkuu tuombe Mungu waje otherwise wafanyakazi wa umma tutakosa mshahara
 


Ubalozi wenyewe unapunguza wafanyakazi wao na wizara yao ya mambo ya nje ina shauri sio muda wa kusafiri kimataifa sisi tunawaza watalii.

Foreign travel advice - GOV.UK

Tanzania travel advice

Ukipita hiyo website yao kila nchi inatajwa ipo kwenye hali gani kwa sasa Tanzania is among those considered very risky na wala hakuna upendeleo everything is based on their assessment methods.

Kuficha data za Coronavirus kuna madhara kiuchumi kushinda tunavyodhani kwa mtazamo wa wenzetu and their risk assessment approaches.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…