Wakati tunajiandaa na beach party Dar - Kuna device ya metre 2 social distance imezindiliwa huko ambako corona bado ni tishio

Wakati tunajiandaa na beach party Dar - Kuna device ya metre 2 social distance imezindiliwa huko ambako corona bado ni tishio

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ni Beeper unaivaa shingoni, anaekukaribia zaidi ya metre mbili Inaanza ku beep mpaka huyo mtu asogee.

Sasa wale madomo zege walikuwa na kazi kubwa mwanzo, hii social distance itawapa wakati mgumu kidogo.

Coronavimebadilisha sana utaratibu wa maisha. Binadamu tulikuwa tunajali sana muda katika kuendesha mambo. Leo ukiwa train station ni lazima yake metre mbili mbali na mwenzako, train inakaa abiria mmoja kiti ki moja. Usalama wa afya yako unakuja kabla ya haraka ya kuwahi..

=======

The device uses radio waves to calculate how far apart two of the beepers are

A beeper has been invented to ensure workers stay two metres apart - activating whenever a colleague wearing one comes too close.

Pathfindr believes its product could help workplaces attempting to protect their staff against the threat of COVID-19, with many companies struggling to ensure that social-distancing guidelines are adhered to.

The Health and Safety Executive has told Sky News it has received about 5,000 concerns about business premises since the pandemic began - including 676 last week.

Based in Norfolk, Pathfindr normally provides internet-based technical solutions for industry, but has now switched production to focus entirely on the beepers.

Ben Sturgess, the company's chief technical officer, told Sky News: "It's very simple to use. You wear it round your neck, on a belt or in your pocket, and it pings out a signal constantly at a rate of about two per second.

"If there are any other devices nearby, it sends the message back, calculating how far that other person is away, and if you're within two metres it emits an audible beep."

At first, the developers tried Bluetooth for their self-distancing assistant, but realised that wasn't accurate in close proximity because the signal was bouncing off hard objects or being blocked by people's bodies.

"We are using technology called ultra wideband which is a much higher frequency," Mr Sturgess said.

"The device measures how long a radio wave takes to travel at the speed of light from one device to another and back again."

Product design and development would normally take more than four months - but because of the pandemic, a useable device was produced in less than four weeks.

The firm is already selling hundreds of units per week, but international demand has surged, and it is expanding production to cater for several thousand orders per week by the middle of next month.

They say they've had enquiries from martial arts clubs in New York, and large pharmaceutical companies in Europe.

The company's managing director, Matt Isherwood, thinks it could also be a solution for the hospitality industry - and he expects pubs and restaurants to buy them in bulk.

He said: "Any customers would wear them whilst in the building to keep socially distant from other customers and staff, and then hand them back at the end of their visit to be sterilised and used again."

This is a limited version of the story so unfortunately this content is not available.

One of Pathfindr's nearby clients is Saxon Air, which operates a private hub for helicopters and jets at nearby Norwich Airport.

Luke Frost, Saxon's safety manager, said: "Social distancing is so abnormal for all of us, and yet overnight there's an expectation we maintain that distance.

"So we've been using the device to help remind everyone in our workspace to keep that two metre distance."

Source: news.sky.com
 
Sky Eclat, Anaekukaribia zaidi ya metre mbili I aan za ku beep mpaka huyo mtu asogee.

So we unafikiria nini?
 
Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona

Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya
 
Acha tu mkuu hawa wanasiasa wanafanya mzaha kwenye maisha ya watu,korona sio ya kuletea masikhara hata kidogo, Dr Mwele ameshangaa sana BASHITE alivyotoa tamko kwamba kuanzia Jumapili watu wapige kelele wapigwe shangwe waende beach,wafungulie mziki mzito sana na kama una gari piga oni za kufa mtu maana wameishinda korona,

Dr Anashangaa kwanini watu warudi kama awali hata kama "Ugonjwa Umepungua" kwa mujibu wa Dr Bashite na Jiwe ilibidi wakae kwanza(Monitoring) kwa muda wa mwezi mmoja waangalie trend ya cases kwanza wakiona inazidi kudrop ndio wafikia hayo maamuzi yao!! Standard ni 30 days na ndio maana kenya wamefunga baadhiya mipaka yao huku Tanzania kwa siku 30.
 
Acha tu mkuu hawa wanasiasa wanafanya mzaha kwenye maisha ya watu,korona sio ya kuletea masikhara hata kidogo,Dr Mwele ameshangaa sana BASHITE alivyotoa tamko kwamba kuanzia Jumapili watu wapige kelele wapigwe shangwe waende beach...
Dr Bashite anaweza maisha yetu rehani na pesa ya kuyakombolea hakuna.
 
Dr Bashite anaweza maisha yetu rehani na pesa ya kuyakombolea hakuna.
Anawaingiza "Mapoyoyo" mkenge ila % kubwa sana ya waTZ wanaamini sana ngonjera tantalila za MATAGA yaani wakishaona BASHITE kapayuka basi % kubwa wanaamini coz hawajui chochote kinachoendelea na ndio maana inakuwa rahisi sana kuwaingiza MKENGE kwamba korona imeisha ila mimi na wewe wenye ufahamu tunajua kitu gani kinaendelea tukiambiwa tunachanganya na za kwetu na za kigogo.
 
Anawaingiza "Mapoyoyo" mkenge ila % kubwa sana ya waTZ wanaamini sana ngonjera tantalila za MATAGA yaani wakishaona BASHITE kapayuka basi % kubwa wanaamini coz hawajui chochote kinachoendelea na ndio maana inakuwa rahisi sana kuwaingiza MKENGE kwamba korona imeisha ila mimi na wewe wenye ufahamu tunajua kitu gani kinaendelea tukiambiwa tunachanganya na za kwetu na za kigogo.
Mpwa tuinuane
 
Achana na hiyo, nyumba ya vyumba sita ninayopanga inawapangaji sita wanawake na watoto jumla 30 hivyo totali watu 36 eneo la nyumba nchini ya robo ekari, hiyo beeper itachanganyikiwa tu, achana nayo.
 
Back
Top Bottom