Wakati tunajiandaa na beach party Dar - Kuna device ya metre 2 social distance imezindiliwa huko ambako corona bado ni tishio

Watu wanajifukiza tu ,cha kufurahisha,wanaokejeli ndio mabingwa wa kujifukiza,corona imepungua sana nguvu imebaki mitandaoni.na ufipa
 
Sikjui kufikiri nifundishe watu wanafukifiaje?
Dah kiswahili naona kinakuwa kwa kasi..!!
Mkuu hilo neno "wanafukifiaje" sijalielewa kusema kweli..
Msaada tafadhari
 
Dah kiswahili naona kinakuwa kwa kasi..!!
Mkuu hilo neno "wanafukifiaje" sijalielewa kusema kweli..
Msaada tafadhari
Nilimaanisha wanafikiriaje?
 
Nataarifiwa Lema kamkimbia DC na madeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…