Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Watu wengi wamekuwa wakichukua gharama zote za kutuma au kutoa fedha kwenye miamala ya simu kama ndio tozo. Ukweli ni kwamba makampuni ya simu yamekuwa yakitoza ada kubwa saana kwenye kutoa au kutuma fedha.
Kwa mfano kuna baadhi ya kampuni ukituma fedha kiasi cha shilingi 5,000/= jumla ya makato ni shilingi 240/= lakini ada ya kampuni ni shilingi 180/= na tozo ni shilingi 60/=. Kwa watu wengi imekuwa ikionekana au kuchukuliwa kama jumla ya makato ndio tozo, hii si kweli.
Wakati tukiendelea kulisemea la tozo, basi ni muhimu saana hizi kampuni za simu zikaangalia ada zao hasa wakati huu ambao uchumi wa dunia umeyumba.
Serikali ya awamu ya sita ni ya Wananchi, na jicho la Serikali ni kali na linamulika hata gizani
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya usiku na mchana bila kupumzika