Wakati tunaomba Serikali iangalie kilio cha tozo zilizopitishwa na Bunge, tuanze kupiga kelele na makato yanayotozwa na Makapuni ya Simu

Kwenye iyo tsh 180 ada ya kampuni humo ndani kuna kodi zaidi ya nne za serikall.bado serikali inatuumiza raia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…