Wakati tunapambana na ya kwetu sio mbaya tukichungulia na Kenya kidogo, Ruto vs Uhuru

May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
6,311
Reaction score
9,027
Dalili ya mvua mawingu, wapiganapo mafahali wawili ziumiazo ni nyasi rafiki mkia wa fisi.

Fadhila Mfadhili Mbuzi Binaadamu atakuudhi, akumulikae mchana usiku atakuchoma.

Atakaye hachoki, akichoka ameshapata asiyekubali kushindwa si mshindani.

Unaweza kutumia aina mbalimbali za misemo kuelezea yanayoendelea kwa jirani.

Hapo anatajwa Raila, sikiliza hiyo clip vizuri.

Tuwaombee jirani zetu maana mtifuano sio wa kitoto.
Raila umri umeshamtupa. Alijaribu kumuandaa mwanae Fidel lakini wajanja wakamfinya. Gideon vs Ruto wanatoka Rift Valley (na ni ndugu). Siasa za Kenya zinataka mtu amayekubalika Central (GEMA, Mt. Kenya zone) na Rift Valley. Huko ujaluoni na Pwani Ni kukamilisha ratiba tu.
 
Sijakataa kuhusu Gideon, ila nawe usikatae kuwa Raila nae bado anataka.
 
Raila umri umeshamtupa. Alijaribu kumuandaa mwanae Fidel lakini wajanja wakamfinya. Gideon vs Ruto wanatoka Rift Valley (na ni ndugu). Siasa za Kenya zinataka mtu amayekubalika Central (GEMA, Mt. Kenya zone) na Rift Valley. Huko ujaluoni na Pwani Ni kukamilisha ratiba tu.
Kenyatta alishinda kwa 50% Na alikua na kura zote za GEMA + Rift valley.

Kumbuka Odinga ana kura za Coast,Luo,Luhya,Wakamba,Somali,Kisii hizo ni kura zaidi ya million 8 hapo.

More so, Jubilee na ODM ssa zinashirikiana so GEMA + LUO hapo tu ni zaidi ya 6 million votes.

Kiufupi Ruto atapambana na Odinga + Dola ya Jubilee.... Sioni akipita
 
Kenyatta alishinda kwa 50% Na alikua na kura zote za GEMA + Rift valley.

Kumbuka Odinga ana kura za Coast,Luo,Luhya,Wakamba,Somali,Kisii hizo ni kura zaidi ya million 8 hapo...
Na mtiti unaanzia hapo maana Ruto simuoni wa kukaa chini na kukubali yaishe.
 
Back
Top Bottom