Raila umri umeshamtupa. Alijaribu kumuandaa mwanae Fidel lakini wajanja wakamfinya. Gideon vs Ruto wanatoka Rift Valley (na ni ndugu). Siasa za Kenya zinataka mtu amayekubalika Central (GEMA, Mt. Kenya zone) na Rift Valley. Huko ujaluoni na Pwani Ni kukamilisha ratiba tu.Hapo anatajwa Raila, sikiliza hiyo clip vizuri.
Tuwaombee jirani zetu maana mtifuano sio wa kitoto.
Sijakataa kuhusu Gideon, ila nawe usikatae kuwa Raila nae bado anataka.Raila umri umeshamtupa. Alijaribu kumuandaa mwanae Fidel lakini wajanja wakamfinya. Gideon vs Ruto wanatoka Rift Valley (na ni ndugu). Siasa za Kenya zinataka mtu amayekubalika Central (GEMA, Mt. Kenya zone) na Rift Valley. Huko ujaluoni na Pwani Ni kukamilisha ratiba tu.
Kenyatta alishinda kwa 50% Na alikua na kura zote za GEMA + Rift valley.Raila umri umeshamtupa. Alijaribu kumuandaa mwanae Fidel lakini wajanja wakamfinya. Gideon vs Ruto wanatoka Rift Valley (na ni ndugu). Siasa za Kenya zinataka mtu amayekubalika Central (GEMA, Mt. Kenya zone) na Rift Valley. Huko ujaluoni na Pwani Ni kukamilisha ratiba tu.
Na mtiti unaanzia hapo maana Ruto simuoni wa kukaa chini na kukubali yaishe.Kenyatta alishinda kwa 50% Na alikua na kura zote za GEMA + Rift valley.
Kumbuka Odinga ana kura za Coast,Luo,Luhya,Wakamba,Somali,Kisii hizo ni kura zaidi ya million 8 hapo...