Wakati TZ inaendelea na mbwembwe za majukwani juu ya Reli, Jirani zetu wachanja Mbuga

Wakati TZ inaendelea na mbwembwe za majukwani juu ya Reli, Jirani zetu wachanja Mbuga

Ilulu

Senior Member
Joined
Mar 22, 2008
Posts
161
Reaction score
31
Tanzania tumebaki kusikiliza hotuba za viongozi wetu, tutaimarisha reli ya kati na kuunganisha na Rwanda/ Burundi, mara reli toka Tanga hadi Musoma na zaidi reli toka Mtwara hadi Mchuchuma & Liganga
Maneno mengi vitendo zero, sasa jirani zetu Msumbiji wao wanafanya kweli... na hii ndiyo habari kamili...

Mozambique launches US$2 billion international tender for railroad project


November 22nd, 2012 News
The Mozambican government plans to launch an international public tender for a rail and port project worth US$2 billion, the chairman of state port and rail company CFM said Wednesday in Maputo.
"The public tender will be launched by the end of the year, it will be worth US$2 billion and is intended to solve the logistical problems related to increasing coal exports," said Rosário Mualeia on the sidelines of the Coaltrans conference, cited by financial news agency Reuters.

The public tender is to build a 525 kilometre railroad from Tete province to Macuse, in Zambézia province, and a port with capacity to handle 20 million tons of coal per year.
Mualeia also noted that work to rebuild the Sena railroad, which is the only rail link between Tete and the coast, will be finished by the end of the year, after which it will have capacity to carry 6.5 million tons per year.

The chairman of Portos e Caminhos de Ferro de Moçambique (CFM) noted that several rail and port projects due to be carried out would have an overall cost of US$12 billion and be completed within five years. These new projects are expected to increase the country's export capacity to 120 million tons of coal per year.

Mualeia also said that in 2013 an independent operator would be set up to manage all the railroads, although prices and policy for accessing the network would be established by a state regulator. (macauhub)


Source: Mozambique launches US$2 billion international tender for railroad project | Macauhub English
 
Sasa kumbe nao wako kwenye plan tu kama sisi!? Mi nilifikiri tayari gogo linateleza juu ya reli,siwaamini kabisa ccm,but your refference is irrelevant.
 
unajua maana ya ku-launch international tender? sijaona kama wana financial back-up so far kwa hiyo sioni kama wameenda mbali saana
 
Subiri wachina watakuja kutujengea kwa mkopo wa bei nafuu na 50% ya wakubwa
 
Hapa kwetu porojo too much ingawa sasa wameanza kujitahidi.
 
Sasa kumbe nao wako kwenye plan tu kama sisi!? Mi nilifikiri tayari gogo linateleza juu ya reli,siwaamini kabisa ccm,but your refference is irrelevant.
Wako ahead, wamemaliza kubwabwaja.... Wamemaliza kuandaa sasa wanarusha tender

your observations are irrelevant
 
Back
Top Bottom