Habarindiyohiyo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 263
- 16
Hiyo ni tetesi au habari ya kweli??
Paparazi Mwazi,Kwani Silaa ni sawa na Slaa?
PM
Paparazi Mwazi,
Thanks. Nimepigiwa na Waandishi kadhaa baada ya Tangazo hilo la Mnada kutokea. Ni kweli kuwa "Wabantu wengi" wamekuwa wakichanganya jina Slaa na "Silaa au Silayo. Majina Silaa na Silayo ni ya kibantu na Slaa ni ya Wairaqw ambayo ni wahamitic. Hivyo siyo kosa lao waliotafsiri hivyo.
Ningekuwa na "Hekalu" kama ilivyoelezwa sijui ningelijisikiaje leo. Nashukuru kwamba sina uhusiano nalo kwa namna yeyote ile. Dr. Slaa
Wakati nchi ikiwa katika heka heka za kupiga vita ufisadi, hekalu la Silaa lauzwa huko Mbezi Beach. Nyumba hiyo ya kisasa inadaiwa kujengwa kwa fedha ambazo zimeshindwa kurejeshwa.
......ndiyohiyo
kwa kuwa dr.slaa, mwenyewe amekanusha ni vizuri huu mjadala ufungwe,thanks dr. slaa for your quick response.
Pili huyu aliyeleta habari hii amechanganya vitu viwili tofautti mkopo na vita dhidi ya ufisadi ambayo inaendelea nchini.