Wakati Uganda imeshaanza ujenzi wa Barabara ya Kampala-Jinja kwa PPP. Huku Tanzania Kafulila hakuna mradi hata mmoja anaoutekeleza

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Uganda wako serious na PPP

---
This is fantastic news! The groundbreaking step on the Kampala—Jinja Expressway PPP Project marks a huge leap forward for our infrastructure. we're confident that this project will enhance connectivity and drive progress across the region. Stay tuned for the official update—exciting times ahead!


Hapa Tanzania kina Kafulira wanapiga porojo za uchawa ila hakuna mradi wowote Unaoendelea huko ground 🤣🤣
 
Nikikuambiaga ogopa matapeli huwa unafura vibaya.
 
Dogo leo umesahau kutupiako "MY TAKE".

Nyau de adriz
 
Tungepata mradi wa ppp wa Dar Morogoro ungefungua sana uchumi wa nchi.

Imagine Dar Moro 180kms lakini unatumia 5 to 6 hours kutembea kwa gari kutoka Dar kwenda Morogoro ama Morogoro kwenda Dar, avarage ya 25 to 30km/h, yaani hata mtu wa baskeli akiwa serious anamtangulia wa gari.

Lazima kama nchi tufikirie tofauti, usafiri ndio msingi mkuu wa uchumi, sasa watu wanatumia masaa mengi sana barabarani badala ya kuzalisha mali.
 
SGR haijawafungulia?
 
Huku PPP ni ya watoto wa Marais wastaafu, mawaziri, na wapigaji wengine.

Kuna mmarekani anataka kujenga Barbara ya Makambako hadi Songwe airport , amepiga Dana Dana mwaka WA pili Sasa,hawataki kuachia hiyo line.
 
Hukuuuuu tuna PPF
MKUUU ACHA TU F UNAELEWA MAANAKE
 
Serikali na Kafulila wote wanapiga porojo tu, upuuzi wa maneno matupu kama huu ulikuwepo wakati wa Jakaya Kikwete pia, Serikali ya Rais Magufuli ilisema na mambo yalionekana yanafanyika tena kwa kasi.

Samia na serikali yake yale yale, Watu wanapiga porojo tu basi, inakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…