The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Chawa wa samiaSiteteagi ujinga
Ulielezwa umeanza ujenzi lini na nani?Kipindi hiki nicha Chawacracy na Tumbocracy,porojo kwa kila kitu.
Swali nje ya mada ChoiceVariable naomba taarifa ya mradi wa barabara ya kutoka Namanyere mpaka kirando,ambao utakuwa wa rami.
Hata Mimi nashangaaaMkuu wewe ndio hua mtetezi mkuu wa Kafulila, leo unaanza kumnanga?
Kama baba yako sio?Nyie Chawa Ndio mnasababisha serikali ione imefanya kazi wakati ni usenge mtupu.
Ka barabara kenyewe kabayaaaa! Mbona Kafulila alitutangazia kwamba pale Kariakoo kuna jengo la hatari kuzidi Mlimani city linajengwa kwa PPP? Au ulikuwa haupo mkuu? Heshima kwa Kafulila! Mnaokabeza ka Tumbiri piteni hapa mkasikilize wenyewe!Uganda wako serious na PPP
---
This is fantastic news! The groundbreaking step on the Kampala—Jinja Expressway PPP Project marks a huge leap forward for our infrastructure. we're confident that this project will enhance connectivity and drive progress across the region. Stay tuned for the official update—exciting times ahead!
View attachment 3257618View attachment 3257619
Hapa Tanzania kina Kafulira wanapiga porojo za uchawa ila hakuna mradi wowote Unaoendelea huko ground 🤣🤣
Tumbiri aje ajibu hizi hoja hapa si alikuwaga member wa JF?Kafulila ni zero result oriented person, kazi yake ni kupiga makelele kwenye TV na mitandaoni na kusifia sifia kwa data zake sijui anatoa wapi, mara data za IMF, WB mara sijui nani, ila ukimuuliza show me one physical project iliyokamilika au inayoendelea kwa PPP tokea ameteuliwa, hakuna kitu, kazi yake kuwa na majina mengi hadi humu JF kutoa data tu, mara sijui wangapi wamewekeza, mara sijui toka ngapi hadi ngapi, but hakuna kitu kinaonekana..
Siku sio nyingi Mh. Rais atajua Kafulila ni mtu wa porojo sana na atamfukuza kwa kalamu nyekundu haraka sana.
Huko hakuna madini kweli? Tunaogopa madini yetu yasije bebwa kwa urahisi.Kipindi hiki nicha Chawacracy na Tumbocracy,porojo kwa kila kitu.
Swali nje ya mada ChoiceVariable naomba taarifa ya mradi wa barabara ya kutoka Namanyere mpaka kirando,ambao utakuwa wa rami.
Jengo na Barabara kipi ni worthwhile?Ka barabara kenyewe kabayaaaa! Mbona Kafulila alitutangazia kwamba pale Kariakoo kuna jengo la hatari kuzidi Mlimani city linajengwa kwa PPP? Au ulikuwa haupo mkuu? Heshima kwa Kafulila! Mnaokabeza ka Tumbiri piteni hapa mkasikilize wenyewe!
View attachment 3257830
Huyo mhangaza anatafuta kick tu. Kajaza ID feki humu za kumsemea yeye Kila siku. Akili zenyewe ndo zile zileUganda wako serious na PPP
---
This is fantastic news! The groundbreaking step on the Kampala—Jinja Expressway PPP Project marks a huge leap forward for our infrastructure. we're confident that this project will enhance connectivity and drive progress across the region. Stay tuned for the official update—exciting times ahead!
View attachment 3257618View attachment 3257619
Hapa Tanzania kina Kafulira wanapiga porojo za uchawa ila hakuna mradi wowote Unaoendelea huko ground 🤣🤣
Kafulila ni mpiga domo kama mwijaku tuUganda wako serious na PPP
---
This is fantastic news! The groundbreaking step on the Kampala—Jinja Expressway PPP Project marks a huge leap forward for our infrastructure. we're confident that this project will enhance connectivity and drive progress across the region. Stay tuned for the official update—exciting times ahead!
View attachment 3257618View attachment 3257619
Hapa Tanzania kina Kafulira wanapiga porojo za uchawa ila hakuna mradi wowote Unaoendelea huko ground 🤣🤣
Hata Mimi nilikuwa nashangaa inakuaje mtu mpuuzi kama kafulila anatajwa tanjwa humu jf bila sababu?Huyo mhangaza anatafuta kick tu. Kajaza ID feki humu za kumsemea yeye Kila siku. Akili zenyewe ndo zile zile