Hawa Uganda walijipanga muda mrefu,hata ujeruman kuchukua kombe la dunia alikuwa anasogea taratibu,kumbuka Spain walianza na kombe la ulaya ndo wakabeba kombe la dunia,huwez kuibuka tuuu,lazima kuwekeza na kujipanga.Tff iwakusanye wachezaji wa zamani hasa waliotembea kama A.China,akina Njohole,Manara family wawakutanishe na hawa wasasa kina Mbwana ,utengenezwe mpango maalumu wa maana siyo ubabaishaji otherwise sisi tutabaki hivihivi.