Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

Inafikia hatua vituo vingine vya polic mpaka wana jicfia kwamba ukiwakamat watu wa sehem fulani utapata ela
 

Hayo ndio malezi na makuzi tuliyofundishwa na Chama cha Mapinduzi na serikali zake kwa miaka mingi. UNAFIKI. Sisi sio wakweli, ni wachumia tumbo. Tunafanya lolote lile mradi tushibe tukiamini tutaikwepa sheria iwe kwa vitisho, rushwa, madaraka au ujanja wowote. Mfano, hivi yale Waziri Mkuu Majaliwa aliyomfanyia mgombea ubunge mwenzie jimboni 2020 kwa kutumia polisi haohao na wanausalama wengine kina tofauti na huyu aliyechomwa sindano Mtwara na mwingine kunyongwa na kitambaa cha deki? Tume ya PM itakuja na lipi??
 

sawa nyinyi tz akili yoote imehamia simba na yanga na ligi ya uigereza hayo ndio maisha yenu ya sasa na kizazi kijacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…