Wakati ukiwa na mawazo ya biashara, Jaribu kuangaalia hata mkopo kwa kutumia simu zetu

Wakati mwingine Mimi kama kijana huangalia mikopo kwa kutizamaa fursa iliopo wakati ule ukizingatia kiwango cha pesa niliyonayo. Hushindwa kusaccess kwa sababu tu ya mtaji ila Marengo yangu so kill eza hata
 
Kama wanajamiiforum wenzangu tuwe pamoja katika Uzi huuu wa fursa na nzuri za kupata mitaji na kukuza biashara yako. Ama kuangalia sehemu inayoweza kukunyanyu kiuchumi. Na kukutoa katika shida. Tupia fursa yako hapa
 
Pakua app ya Tala kupitia Google playstore install kwenye Simu yako fuata maelezo waweza kupata mahali pa kuanzia
 
Pakua app ya Tala kupitia Google playstore install kwenye Simu yako fuata maelezo waweza kupata mahali pa kuanzia
Lakin hii inahitaji kuwa na tigo tu sasa. Na kwa wale tusio na lain ya tigo he tuna fanyeje
 
Tala sasa hiv nakopeshwa lak 110 wakat branch ati elfu 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…